Makamu wa Rais Philip Mpango kwanini Ofisi yako inashindwa kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti msimu huu wa mvua?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,012
20,685
Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.

Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
 
Moja ya hatua za mwanzo mwanzo alizochukua magufuli ni kuvunja mamlaka ya ustawishaji makao makuu, CDA. Unakumbuka kazi kubwa iliyofanywa na CDA kupanda miti, na kuibadilisha dodoma iliyokuwa almost jangwa kuwa kama ilivvyo Leo? Kulikuwa na idara ya mazingira, Kwa muda mrefu ikiongozwa na mkurugenzi Thomas Mtei, na ufadhili wa serikali ya Japan kupitia shirika lao JICA, na vijana wa kujitolea JOCV. Kazi iliyofanywa ni kubwa. All of a sudden CDA ikavunjwa- eti hakuna walichofanya zaidi ya kufisadi viwanja! Stupid.
 
Kwani Dodoma imeanza leo? Kwanini viongozi waliomtanguliwa hapo Dodoma hawakuifanya ya Kijani kwa kupanda Miti?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.

Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Ni kweli na sio Dodoma Tu Bali sehemu nyingi ambazo Moti imekatwa iwe Singida , Tabora, Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Mara
 
Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.

Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Asante kwa kukumbusha, kampeni itaanza karibuni sana
 
Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.

Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Hiyo ni kazi ya Waziri Jafo na mara nyingi Dr Mpango amekuwa akimuagiza afanye hilo zoezi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Moja ya hatua za mwanzo mwanzo alizochukua magufuli ni kuvunja mamlaka ya ustawishaji makao makuu, CDA. Unakumbuka kazi kubwa iliyofanywa na CDA kupanda miti, na kuibadilisha dodoma iliyokuwa almost jangwa kuwa kama ilivvyo Leo? Kulikuwa na idara ya mazingira, Kwa muda mrefu ikiongozwa na mkurugenzi Thomas Mtei, na ufadhili wa serikali ya Japan kupitia shirika lao JICA, na vijana wa kujitolea JOCV. Kazi iliyofanywa ni kubwa. All of a sudden CDA ikavunjwa- eti hakuna walichofanya zaidi ya kufisadi viwanja! Stupid.
Kwaiyo umewaza sana,ukaona hiyo ndiyo sababu Dodoma haipandwi miti!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.

Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Wananchi wa Dodoma wapo tayari kwa kijani?
 
Ndio, Dodoma ya Sasa si ya wagogo tu
Changamoto ni ujenzi holela wa kijinga, Dodoma ya leo siyo ya kuruhusu kujenga nyumba tofauti na maghorofa, mji lazima upangiliwe mapema, angalia NHC wanajenga mabanda tupu wanakwambia tuna mradi wa nyumba elfu 2, kumbe wangepiga magorofa 50 sawa na hayo mabanda elf 2 na maeneo mengine ikawa bustani.
 
Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.

Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Yupo Jafo anachofanya hapo ni kujizungusha tuu kwenye viwanda na kuvizia Mkutano wa COP akapate posho.

Jafo ana legacy gani Hadi Sasa kwenda Wizara ya Mazingira?

Nachojua Wizara ya Mazingira ni nyeti sana kwenye swala la mabadiliko ya Hali ya hewa nk.

Hii tabia ya kubeba beba mtu sababu ya dini Haina Afya.Fukuza Jafo hapo Wizarani.
 
Back
Top Bottom