Siri kwa mabaharia wote wanaojitambua, mwanaume mwenye 35+ ana nafasi kubwa sana ya kukubalika

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,420
40,406
Mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35+ akawa smart, akawa na afya njema, akawa sio mtu wa makundi, huku uchumi wake ukiwa wa wastani n.k ana nafasi kubwa sana ya kukubalika kwa mwanamke yeyote yule; na kwa asilimia kubwa wanaume (mabaharia) hawa wenye hizi sifa wanasumbuliwa sana.

Unaweza kukuta kwa siku unapigiwa kama sio kubipiwa na warembo/majimama kadhaa wanaojitambua. Na wanatumia nguvu kidogo sana katika kutongoza, akimsemesha mdada yeyote tu...hi! mdada anachanganyikiwa kama sio kulowana. Na kama ni mtu wa kupenda mechi utazikimbia mwenyewe. Huwa ni umri wa mtu kuwa mwanaume aliyekamilika.
 
Mkuu umemaliza kila kitu, huo umri unaeza hisi unangekewa fulani kwa wadada maana kila unapojaribu imo, tangu nimefikia age hiyo ukweli nawala sana wadada najihisi mwenye bahati ya pekee kumbe tupo wengi? dah! nimefarijika kujua hilo...

nb: kama hujajipanga kimaisha hili kundi huwez ingia hata una umri tajwa.
 
mkuu umemaliza kila kitu, huo umri unaeza hisi unangekewa fulani kwa wadada maana kila unapojaribu imo, tangu nimefikia age hiyo ukweli nawala sana wadada najihisi mwenye bahati ya pekee kumbe tupo wengi? dah! nimefarijika kujua hilo...

nb: kama hujajipanga kimaisha hili kundi huwez ingia hata una umri tajwa.
Wanaamini kundi hilo ndilo la wanaume wanaojitambua n.k
 
They say with age comes experience! Japo ukifanikiwa na kuwa na maisha mazuri halafu ukakaa hadi umri huo bila kuoa basi ni lazima utakuwa ni muhuni hadi kupitiliza.
Kweli, wanaamini kwa umri huo hakutakuwa na usumbufu wa kitoto
 
Kweli, wanaamini kwa umri huo hakutakuwa na usumbufu wa kitoto
Vibinti huvikatai watu kuanzia umri huo, japo huwa vinatoaga kauli kama "Ila wewe mbona una mke" au "Mmhh mbona nasikia mke wako ni mkorofi sana". Ukiona hujaulizwa haya basi jua huyo uliyemtongoza ni mdangaji sugu. Yote tisa umri huo bila kuoa au kujihusisha kwenye mahusiano kama vibinti vidogo it's just too risky with long term repercussions.
 
mkuu umemaliza kila kitu, huo umri unaeza hisi unangekewa fulani kwa wadada maana kila unapojaribu imo, tangu nimefikia age hiyo ukweli nawala sana wadada najihisi mwenye bahati ya pekee kumbe tupo wengi? dah! nimefarijika kujua hilo...

nb: kama hujajipanga kimaisha hili kundi huwez ingia hata una umri tajwa.
Hahahahah.
 
Key ni kuwa na mafanikio ya kuridhisha. Nyumba, gari zuri la kutembelea na stable finance status kama biashara kubwa ama kazi with enough savings.
On top of all akili iwe imetulia tu no mapepe. Wale vijana wakimya ndio serial predators wa age zote 🤣🤣🤣

Ukiwa na hivyo hata ukiwa 25 tu unakula mema ya nchi mbona.
 
Now, this is what we call A Testament of an Expert!
 
KWANZA umri mzuri na sahihi kuoa ni 40yrs,hapo 35 ndiyo unatakiwa kuanza kuchungulia yupi sahihi zaidi baada ya kurammbaramba sana,38 unakaa sawa unatulia unavuta vumbi kuziba viraka na meusi meusi halfu 40 cash ndiyo waoa.
 
Back
Top Bottom