CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

Kwani maandamano yanazuia msiba???? Kuna mtu kakwambia uache kuomboleza uende kumpokea Lissu????

CCM Embu acheni kujidhalilisha humu. Mbona mnamuogopa sana raisi Mtarajiwa??? Maisha yenu yataendelea tu kuwepo hata baada ya Lissu kuapishwa kuwa Raisi hapo November 2020.

Tulieni jamani CCM.
 
Mkapa kama kiongozi mstaafu alikaa kimya hata pale TL aliposhambuliwa

Mkapa siyo kiongozi wa Taifa, alikuwa ! na atapewa heshima hizo kama ilivyo

Katika nchi huru watu hutenda kwa uhuru wakiongozwa na busara zao.

Hakuna sheria inayoongoza nini watu wafanye katika maisha yao ilimradi hawakiuki sheria za nchi
 
MKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehem Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
Hata baada ya kifo maisha ya kawaida lazima yaendelee.
 
MKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehem Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
kwani alishawahi kukemea au kusemea kuhusu kupigwa risasi lissu? kama hakuwahi atakua sio kiongozi Wa kitaifa
 
MKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehem Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
"Hatutaki"
Hii kauli inawakilisha wakina nani?
Au inakuwakilisha wewe?
Jisemee nafsi yako
 
MKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehem Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. Amina.
kwanza huyo ni hayati si marehemu kama mbuzi akufananiaye
 
Kwani maandamano yanazuia msiba???? Kuna mtu kakwambia uache kuomboleza uende kumpokea Lissu?

CCM Embu acheni kujidhalilisha humu. Mbona mnamuogopa sana raisi Mtarajiwa??? Maisha yenu yataendelea tu kuwepo hata baada ya Lissu kuapishwa kuwa Raisi hapo November 2020.

Tulieni jamani CCM.
Labda awe rais wa TBL
 
ndio sababu nikaandika kama asingekuwa mtu maarufu wala isingekuwa tatizo na ujio wa lissu,but ndio hivyo
Kuna matukio mengine hayahitaji kuhusisha na vitu vingine.

Kwa nini basi usiseme mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM unamkosi, au uchaguzi mkuu kwa CCM safari hii umekuja na bahati mbaya watashindwa kwa sababu wamefiwa na mkiti wao mstaafu.
 
Kwani maandamano yanazuia msiba???? Kuna mtu kakwambia uache kuomboleza uende kumpokea Lissu????

CCM Embu acheni kujidhalilisha humu. Mbona mnamuogopa sana raisi Mtarajiwa??? Maisha yenu yataendelea tu kuwepo hata baada ya Lissu kuapishwa kuwa Raisi hapo November 2020.

Tulieni jamani CCM.
Rais wa TFF au TLC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom