Hawa wote wana vibali vya kwenda kugombea nafasi za Ubunge kwenye Majimbo hayo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Watu wanashindwa kuelewa tu. Ni kuwa wanaonda kugombea ubunge si kwamba walienda kuchukua form wakijua kuwa Rais hatojua. Taarifa walizitoa kwa Rais naye aliruhusu pasipo na shaka.

Kutengua ni jambo analolifanya in public watu tu wapate picha flani lakini wote watia nia wanafahamu kuwa wana kibali mbele zake kwenda shiriki chaguzi hizo. Msidhani mtu anaweza kuwa mpumbavu akaacha nafasi ya ukatibu mkuu au ukuu wa Mkoa/Wilaya akafanye gumbling kwenye ubunge.

Ni sawa na kwenda kupeleka barua ya kujiuzulu boss wako akakubali ila akakwambia itabidi nichukue nafasi hii kuwaambia watu nmekufukuza ili wawe waoga na kazi then ntakupatia mafao yako yote bila shida.
 
Mleta mada uko sahihi

Magufuli anajaribu kupunguza hysteria ya watu kibao kwenda kugombea ili asiparalyse utumishi wa umma!

Wale wateule wake wachache anaowapenda lazima atakuwa amewapa green light
 
Back
Top Bottom