wote

  1. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Kwamba Tanzania inawahitaji wote, Tundu Lissu na Magufuli. Mmoja akishinda mwingine awe PM

    Moja kwa moja kwenye mada... Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda. Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Afande Sirro, ukimuona Lissu kama unavyomuona Magufuli kuwa wote ni wagombea Urais, basi utakuwa na amani na Lissu

    Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo. Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu...
  3. JamiiForums Tanzania je! ikitokea nusu ya wabunge wakatoka upinzani na raid CCM itabidi Kodi za wananchi wote zihudumie nusu ya nchi?

    Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe) Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

    Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma. MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo. Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani 2020: Vatican yamkatalia Mike Pompeo kuonana na Papa Francis

    Vatican imemkatalia waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo kuonana na Papa Francis. Kiongozi huyo wa juu wa Kanisa Katoliki ameelezwa kuwa hawapokei wanasiasa wakati wa kipindi cha uchaguzi. Hatua hiyo inaongeza hali ya mzozo wa kidiplomasia baada ya kauli ya Bwana Pompeo kuhusu China...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

    Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui. Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani. ========= MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
  7. JamiiForums Tanzania Kiburi hiki lazima kiondoke, kodi tunalipa wote

    Chakufanya tunacho mwaka huu,kiburi hiki lazima kikomeshwe maamuzi tunayo mkononi mwetu ni kuamua tu, watuombe msamaha kwa ujinga huu.
  8. JamiiForums Tanzania Lissu, CHADEMA na wapenda Haki wote fundisheni vijana wenu

    Natoa ombi kwako Lissu ,Chadema wote na wapenda Haki wote. Kwa kipindi hiki Cha kampeni wafundisheni na wapeni elimu ya kupiga kura vijana jinsi ya kupiga kura. Kuna vijana wapya kabisa katika upigaji wa kura,Hawa wanaweza kuharibu kura kwa jazba ama hasira zao juu ya mgombea wasiompenda...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe: Askofu Gwajima (CCM) atakuwa Tanganyika Packers na kundi la wasomi na wasanii wote wa Dar

    Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui. Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli. Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena! Maendeleo hayana vyama!
  10. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuungane Kumwombea Tundu Lissu ili ashinde Uchaguzi hapo Oktoba 28

    Karata nyingine ya ushindi kwetu ni kuungana na kuomba ili mpenda haki na amani, mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aweze kushinda kwa kishindo hapo Oktoba 28. Huu ni wito kwa watakatifu wote, wapenda haki, wapenda amani, wapenda usawa, na wapenda kweli kuungana na kumwombea Lissu...
  11. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mnakosea kusubiri raia wote wawe wapinzani

    Bila kupepesa macho, ni dhahiri kuwa kadiri muda unavyokwenda idadi ya wapinzani wa CCM inaongezeka. Si rahisi wahusika kukubali hili lakini kuukataa ukweli ni kujitoa ufahamu. Baba wa taifa alionao ujio wa vyama vingi, wana CCM walitaka kung'ang'ania eti kibaki chama kimoja. Busara za mwalimu...
  12. JamiiForums Tanzania Ili Kupambana na 'Umasikini' Serikali ya Tanzania haiwezi 'Kutulazimisha' Watanzania wote tuutumie 'Ubini' wa 'Laizer' ambao una 'Nyota' ya Utajiri?

    Mshindi wa Jackpot ya SportPesa, Lilian Ngitoria Laizer, amekabidhiwa kitita chake kiasi cha Sh. 267,800,060 na Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, huku akieleza mipango yake ni kufungua biashara kubwa. Nipashe Kuna Mtu aliwahi kuniambia huko zamani kuwa Pesa, Elimu na...
  13. JamiiForums Tanzania Usiku mwema kwa wadada wote wenye lips nene

    Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutuumbia nyie viumbe maana sometimes huwa nashindwa kuimagine maisha yangekuaje bila nyie To be honest wadada wenye lips nene mna nafasi kubwa sana moyoni mwangu. Nisiongee sana nisije nikakufuru naomba tu niwatakie usiku mwema wenye baraka tele Mungu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Salaam kwa Watanzania wote Kupitia JamiiForums - Tunaomba kura zenu za Ndio mumpe Tundu Lissu

    Wanajamiiforums, fikisheni salamu hizi kwa kila Mtanzania mpiga kura bila ya kujali itikadi ya chama chake kwani kama ni CCM huenda akaiona haki na yeye akatamani kutenda haki. Haki ambayo inahubiriwa na Tundu Lissu ,ya kuwa Mashehe wote wakiislamu walioko magerezani bila ya hatia yeyote...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba (Ilolangulu): Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa wajawazito na watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"ILOLANGULU AKIPITA KUSALIMIA. Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa...
  17. JamiiForums Tanzania Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Bernard K. Membe amenena yafuatayo :"Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
  19. JamiiForums Tanzania Matangazo (advertisement) makali ya kwenye TV

    Tangazo la coca cola kwenye kombe la dunia la mwaka 2010 (sina hakika sana) Jamaa (mchepuko) yuko ndani na mke wa mtu, mwenye mke karudi ghafla, akajificha kwenye kabati la nguo, mwenye mke akakaa chumbani anaangalia mpira, Goli limefungwa jamaa akaanza kushangilia, mara gafla anaona mtu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli atakosa kura za wana CCM toka familia hizi

    Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli. 1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti. 2. Watumishi wa umma wana CCM ambao walitakiwa kupandishwa madaraja Julai 2020 hawajapandishwa mpaka sasa. 3. Watumishi wana CCM waliofuzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…