Waislamu kusherehekea Sikukuu ya Eid Kesho. Nawatakia Eid Mubarak Chadema wote

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,413
2,000
Eid Mubarak wana Chadema wote na wana Lumumba na wananchi wengine wote kwa ujumla.

Nawatakia sikukuu yenye furaha bila kusahau kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Siasa siyo Uadui
Maendeleo hayana vyama!

============

Assalama Alaikum

Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo Jumamosi MWEZI UMEANDAMA. Mwezi umeonekana LAMU Matondooni na Singida manyoni, hivyo basi insha'Allah kesho tunaamkia mwezi mosi Shawwal.

Ofisi unawashukuru wote walioshiriki ktk kuleta taarifa hizi.
(Nadir M. Mahfoudh)
(Mjumbe)
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
5,870
2,000
B

taqabalallahu minna wa minkum.

wengine tumesalia leo majumbani mwetu.

yote kwa yote sote tunahitaji rehma za Mola wetu.EID MUBARAK
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
73,098
2,000
Eid Mubarak wana Chadema wote na wana Lumumba na wananchi wengine wote kwa ujumla.

Nawatakia sikukuu yenye furaha bila kusahau kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Siasa siyo Uadui
Maendeleo hayana vyama!

============

Assalama Alaikum

Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo Jumamosi MWEZI UMEANDAMA. Mwezi umeonekana LAMU Matondooni na Singida manyoni, hivyo basi insha'Allah kesho tunaamkia mwezi mosi Shawwal.

Ofisi unawashukuru wote walioshiriki ktk kuleta taarifa hizi.
(Nadir M. Mahfoudh)
(Mjumbe)
Siitaki na wala sitaipokea salamu yako ya Eid , haramu haitoweza kuwa halali
 
Dr. Sajjad Fazel

Verified Member
Jan 7, 2014
436
500
Eid Mubarak wana Chadema wote na wana Lumumba na wananchi wengine wote kwa ujumla.

Nawatakia sikukuu yenye furaha bila kusahau kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Siasa siyo Uadui
Maendeleo hayana vyama!

============

Assalama Alaikum

Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo Jumamosi MWEZI UMEANDAMA. Mwezi umeonekana LAMU Matondooni na Singida manyoni, hivyo basi insha'Allah kesho tunaamkia mwezi mosi Shawwal.

Ofisi unawashukuru wote walioshiriki ktk kuleta taarifa hizi.
(Nadir M. Mahfoudh)
(Mjumbe)
Inabidi mwaka huu tusherehe Eid kama nilivyoeleza kwenye video hii:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom