Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

NANI MKALI WA COLLABO/CHORUS BONGO FLEVA.


  • Total voters
    37
  • Poll closed .

mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
1,446
3,096
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga.
1589292544222.png

juma Nature
Juma Kassim Kiroboto 'Nature'. Tukumbuke chorus hizi
Ugali
Sonia
Msela
Ugali
Radhia
Sitaki Demu
Kisa Demu
Hatuna kitu
Salio la verse
Zali la mentali
Nimpende nani?
Ubinadamu kazi
Mzee wa busara
Ya leo kali
Aquelina
Bila sanaa
Tunafanya kazi
Jinsi kijana
Ni mshamba
Siri ya mchezo
hii ni ndiyo mzee akiwa na professor J.


G NAKO
1589292932186.png

G nako member wa zamani wa NAKO 2 NAKO na sasa akiwa member wa WEUSI.ni msani mwenye ladhaa ya kipekee kila ngoma anayoshirikishwa anafunika vilivyo. msikilize hapa
bele 9 na G Nako na maole.

weusi nje ya box

abdu kiba na g nako kwenye sheri coco
 
Kwa kipindi cha nyuma nature alikuwa vizuri zaidi ila kwa sasa g nako anamfunika. Kwa muda wote yaani wa sasa na wa zamani basi woteee😊
 
Hii maada imekuja kutuhangamsha kama hadisi za sungura na Kobe au.....Unamlinganishaje Juma nature na hawa watoto wadogo sana .... Gnako mlinganishe labda na kina belle 9, kwa juma nature hafikii hata tgeluthi...changanya chorus zote za gnako haji kufikia hata chorus ya mzee wa busara
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom