Wimbo wa Zuchu utakuwa wimbo bora sana wa kampeni kipindi hiki

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,542
3,451
Miongoni mwa nyimbo za kampeni zitakazovuka mpaka ni wimbo wa Zuchu wenye kiitikio.." Jua lile literemke Mama"..wapinzani watetereke sana".Una mahadhi nzuri ya reggae, mahadhi inayochezeka na watu wote na rika zote. Hata kama hutaki kucheza unaweza kutingisha bega tu.

Geita hapa muda huu ni jua lile literemke Mama, Mchakamchaka hadi raha.
 
Takwimu hazidanganyi
Screenshot_20200903-142014.png
 
Hii nyimbo ya Alikiba Number One ina vinanda sio vya nchi hii full sweat melody
 
Acha watu waimbe ila Zuchu kaamsha sana
....We Mama njoooooh uone Nchi ilivyobadilika..
Tanzania ya leo Mama...ai Mama.
Ya Magufuli Mama....
Raha sana hii kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom