EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Habari za Leo wakuu,
Hili gitaa la huu wimbo limekaaje.
Hili gitaa la huu wimbo limekaaje.
Acha wivu na roho mbaya chief.Ujumbe wako, lugha yako na matamshi vyote vimevuruga flavour ya mziki....
Unaonekana kuwa na roho mbaya sana na ya ubinafsiUjumbe wako, lugha yako na matamshi vyote vimevuruga flavour ya mziki....
Ulitaka upate sifa lazima kuwepo n mawazo aina mbiliAcha wivu na roho mbaya chief.
Yeah ni kweli chief, ila japo kuna watu mmmmmmm yaani ukisoma comment nzima haina hata chembe ya ushauri ni full kufokewa tuUlitaka upate sifa lazima kuwepo n mawazo aina mbili