wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Tundaman - True Love. Wimbo huo unatoka lini?

    Nimeona vipande kadhaa youtube na tiktok kwakweli wimbo una mahadhi fulani ninayo yakubali. Naomba kujua wimbo huo watoka lini au kama umeshatoka weka link hapa.
  2. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Wimbo 'kajiandae' ni kitambo lakini bado unagusa japokuwa si maarufu sana

    Kiukweli tuache utani mbona naona kama huu wimbo unamashairi mazuri ama kwa kuwa si mchambuzi wa mziki @Ommydimpoz ulikomaa sio mhezo Oh cherie Usione nachelewa Mwenzako nafanya mipango Tupate riziki kidogo Yo mamii Usione nachelewa Yote sababu mipango utasubiri kidogo My moonlight My...
  3. Darucha

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuupata wimbo huu wa zamani (zilipendwa)

    Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili. "Kiberenge kinaokoaaaa...
  4. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Mmekutana baa na ex wako..je utamshukuru dj kwa wimbo gani

    Imetokea tu..mmekutana baa Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
  5. Haitham Kim

    JamiiForums Tanzania Wimbo wangu mpya kwa ajili ya John Pombe Magufuli unapatikana YouTube kwenye channel yangu HAITHAM KIM

    Watanzania Tunakulilia Baba 😭 @haithamkim X @wyse_tz Official Video is out ‼️
  6. Haitham Kim

    JamiiForums Tanzania Wimbo Wangu Maalumu kwaajili ya John Pombe Magufuli unapatikana YouTube kwenye channel yangu HAITHAM KIM

    Watanzania Tunakulilia Baba 😭 @haithamkim X @wyse_tz Official Video is out ‼️
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa boney m bonoboos I shall sing unaniumiza roho nalia mpaka nazimia

    Wimbo huu ukipigwa unafanya nimkumbuke baba yangu mzazi enzi hizo tukiwa uwingereza malechela akiwa balozi uk naumia Sana . Naomba mwenye mashairi yake video zipo utube . I shall sing sing my song lalalalalalaaaaaaaaaa Lalalalalalaaaaaaaaaa I shall sing sing my song .........
  8. Ophonso

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Ndala Kasheba Dunia Msongamano umezungumzia kabisa tabia ya Watanzania

    Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti. Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau. Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Aliyetunga wimbo wa "Idd Amin akifa, mimi siwezi kulia..." Ukaimbwa mashule na kambini kama kibwagizo alikuwa nani?

    Habari wadau! Tuko kwenye mjadala hapa! Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi! Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba! Je, wimbo huo ulikuwa...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Reggae Bunny Wailer (Neville O'Riley Livingston) afariki dunia

    Lejendari wa muziki wa Reggae Bunny Wailer, ambaye ni miongoni mwa waasisi wa kikundi maarufu cha Reggae kiitwacho Wailers, ambacho kilimuinua Bob Marley kwenye hadhi mziki wa ulimwengu, amefariki akiwa na umri wa miaka 73. Nyota huyo wa miaka 73 alikata roho akiuguzwa katika hospitali ya...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania OMBI: Mwenye code au Note za wimbo wa "Parapanda Italia"

    Inasemekana nyimbo nyingi zinazoimbwa hasa kwenye nyumba za ibada zinakuwa na mpangilio maalum ambao mtu yeyote akiufuata anaweza kuimba. Sasa kuna huu wimbo una maneno kama ifuatavyo. "Parapanda italia parapanda, Parapanda italia parapanda" Mwenye kujua au mtaalamu wa nyimbo anisaidie...
  12. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Wimbo kwa ajili ya wakina baba upo?

    Jaman habarini ningependa kuuliza kama ambavyo tumezoea kila siku wasanii karibia kote duniani huimba nyimbo kwa ajili ya kuwasifu wakina mama. Je ningependa kuuliza kuna mtu ata mmoja anaujua wimbo wowote ulioombwa kuwasifu wakina baba maana sio kila siku tunasikiliza za kuwasifu wakina mama tu...
  13. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani wa Kibongo umeimbwa kwa Kiingereza tu?

    Mbona kwenye interviews nasikiaga YES, TO BE HONEST, nk, lakini sijawah sikia nyimbo kwa kizungu mwanzo mwisho.. Achana na zile wanataja vijimaneno viwili vitatu tu.
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Nigeria Burna Boy amejumuishwa katika orodha ya wanamuziki ambao album yake itakayochezwa wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Joe Biden

    Kwanza unaweza kufikilia inakuwaje asichukuliwe mwanamuziki wa Marekani au mataifa mengine yaliyoendelea, pili ni kiasi gani cha pesa analipwa mwanamuziki huyo kutoka Afrika ya kaskazini? Lakini ni kwamba orodha ya nyimbo zipatazo 46 zimeandaliwa katika sherehe ya kuapishwa kwa Biden, taarifa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari aagiza washindi wa Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Magufuli kwa gharama za Serikali

    Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali. Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Burnout wimbo uliobamba na kuuza sana miaka ya 80 vijana wa zamani tukutane hapa

    Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma. Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu. Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha...
  17. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

    Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa matangazo Hili ni la pili baada ya lile la Cocacola la kuonja msisimko. Mwenye nalo la Pepsi atupie hapa
  18. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Naomba wimbo huu uwe dedicated kwako kipenzi chetu Iron lady Halima Mchuka

    Kila Mara nisikiapo wimbo huu wa mahadhi ya ki Swedish kutoka kwa Abba huwa nakukumbuka wewe. Umetutoka miaka kadhaa nyuma kipindi Kama hiki. Ulifanya utoto wangu kuwa remarkable. I love U Halima, ungalikuwa Dar ningalikuja ingawa hunijui. Msalimu Jackob Tesha, Tumbo lisasi na Ezekiel Malungo...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

    habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha.. Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu.. naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia heri ya mwaka mpya
  20. F

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa " Happy Birthday utafasiliwe"

    Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri? Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno... Tutukuze utamaduni wetu watanganyika.!!
Back
Top Bottom