Uchaguzi 2020 VIDEO: Dkt. Magufuli arejea Makao Makuu ya nchi Dodoma, aserebuka wimbo wa Zuchu mbele ya wananchi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa.

Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa' uliombwa na msanii Zuchu ukipongeza juhudi zake alizozifanya kama Rais na chama chake cha Mapinduzi kuibadilisha Tanzania.

1.jpg
2.jpg
 
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa. Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wa 'Tanzania ya sasa' uliombwa na msanii Zuchu ukipongeza juhudi zake alizozifanya kama Rais na chama chake cha Mapinduzi kuibadilisha Tanzania.

Hoja hamna, naona picha zaonesha kampeni imemmaliza mwili mgombea wa CCM, John Magufuli amepungua sana pamoja ya kuwa ni rais lakini haisaidii kweli kampeni hii ya 2020 ni ngumu.

Vipi hiki chama kongwe kukosa sera za kuwaambia wananchi na kuishi kupiga Muziki huko kote alipopita mgombea John Magufuli wa CCM.
 
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa. Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wa 'Tanzania ya sasa' uliombwa na msanii Zuchu ukipongeza juhudi zake alizozifanya kama Rais na chama chake cha Mapinduzi kuibadilisha Tanzania.

View attachment 1577288

View attachment 1577289

View attachment 1577330
Wapinzani wana edit picha zao. Huku mgombea urais kwa tiketi ya Ccm ana chezeshwa miziki ya kipuuzi na wasio jua kusoma na kuandika. Shikamoo TL.. Shikamoo Chadema. Jamaa pumzi ina kata..
 
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa. Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wa 'Tanzania ya sasa' uliombwa na msanii Zuchu ukipongeza juhudi zake alizozifanya kama Rais na chama chake cha Mapinduzi kuibadilisha Tanzania.

View attachment 1577288

View attachment 1577289

View attachment 1577330
Kampeni hizi raha Sana Yani mzee kaamua kugeuza kofia kishikaji zaidi, kweli yajayo yanafurahisha tutayaona mengi ,
 
]Maccm mmewahi kuwaza kuhusu sera ya ukanda? Kwa sasa Kanda ya ziwa ni “untouchable“ ni kipaumbele kila kitu! Acheni upupu muelimisheni mgombea wenu ajifunze kuwapa wananchi wote haki sawa bila kuwabagua kikanda la sivyo ataishia kufokafoka tu majukwaani kura hapati!
 
Maccm mmewahi kuwaza kuhusu sera ya ukanda? Kwa sasa Kanda ya ziwa ni “untouchable“ ni kipaumbele kila kitu! Acheni upupu muelimisheni mgombea wenu ajifunze kuwapa wananchi wote haki sawa bila kuwabagua kikanda la sivyo ataishia kufokafoka tu majukwaani kura hapati!
 
Back
Top Bottom