wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kupitia huu wimbo?

    Uusukilize mwenyewe lakini mawazo yako utushirikishe wote!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mr. Politician

    https://youtu.be/2461HqUizAw?si=HDdWnPB7oW94nwvz
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania US, Israel na wimbo wao kuifuta Hamas ni kujidanganya

    Wanaukumbi. Ikiwa wewe ni mpya kwa upinzani wa Palestina, labda tayari unajua kuhusu Hamas, lakini jiulize PIJ ni nani. PIJ (Palestinian Islamic Jihad) na Hamas zote ni vikundi viwili vikubwa vya Upinzani nchini Palestina. Wana malengo sawa katika kuikomboa Palestina, lakini wanatofautiana...
  4. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naomba Jina la Huu Wimbo wa Gospel Please.

    Salaam/Shalom...!
  5. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Msanii Darasa "I don't care (it's holiday)

    Chorus Kali sana na melody imetulia ila amezingua kwenye mashairi ya kitoto hajayapangilia,nadhani hakua serious na hii ngoma, angetuliza kichwa hii ngoma inebamba zaidi ya hapa sababu inaendana na sana na msimu huu wa sikukuu. Kama anaweza mwanetu angefanya remix na kuweka mashairi kwenye...
  6. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Majani kaachia album, wimbo gani mkali?

    Sote tulijua Majani ni OG pioneer, lakini nimeshangaa kuwa bado hata leo kwenye hiki kizazi ambacho hawana kipya wao wanacopy tu miziki ya Nigeria na south Africa, Majani ndiye ameamua kuwa mkombozi na kuonesha watu what music is all about-innovation. Nilichogundua mtu pekee wa kuiokoa bongo...
  7. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Israel Mbonyi uitwao "Nitaamini" umejawa upako na matumaini

    Wakuu, Bila shaka mmewahi kuusikia Wimbo wa 'Nina siri na Yesu', ukiimbwa na mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Rwanda mwenye asili ya Congo, Israel Mbonyi. Sasa siku kadhaa zilizopita alitoa wimbo wake mpya ukienda kwa jina 'Nitaamini'. Ni wimbo mzuri mno, lakini napenda...
  8. Nukta5

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Mr. Blue ft Lady JD Sema haupo katika platform zote za music

    Nimeutafuta huu wimbo kila sehemu sijaupata hata video yake haipo ni kwa sababu gani? Pia nimegundua Mr. Blue hana account katika hizi platform kama Spotify, Boomplay, Youtube nk kwanin hajapenda kuweka kazi zake huko?
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Sakata la Walimu kufukuzwa kule Tunduma kisa wimbo wa Zuchu "Honey" ni Kipimo cha Mawaziri Vilaza wa Nyakati za Sasa

    Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida. Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Dolly Parton-island in the stream

    Mwenye nao msaada please
  13. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Kutolewa kwa kanuni ndiyo imekuwa wimbo kwa Simba sasa wamesahau Yanga pia alikosa kubeba ubingwa wa shirikisho kikanuni pia!

    Wanapost sana kwenye mitandao yao na kujisifu kuwa wametolewa kikanuni but Yanga ilipoondolewa kikanuni pia walibeza sana Leo hii kanuni ndio IMEKUWA kichaka Chao Cha kuficha madhaifu yao! Kufuzu makundi klabu bingwa kanuni iyo iyo ndio iliyowabeba na kuwanusuru wasitupwe nje ya michuano dhidi...
  14. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Sitosahau usiku ule Paris nilipotoroka camp kwenda kumuangalia Jay Z na Kanye West, bila kutegemea waliperform Niggas in Paris mara 11 mfululizo

    Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza...
  15. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Fally Ipupa 'Mayday'

    Adolphe na ngai ngai na ye epa na yo Po o apaiser ngai motema unième fois Amour e rendre ngai veuve yo vivant Mon amour tue-moi une bonne fois Adolphe Aah Papa na leli réponds-moi pardon chéri Cimetière réservé libulu ba sombi caveau Famille ba lembi ko consoler ngai po naza mourante (déjà) Aah...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbo wa watu wa Afrika Magharibi nautafuta ulikua wapigwa ITV miaka ya 90

    Kwa wajuzi mtu akiweza kuutambua kwa jinsi ntavyokua najaribu kuufanya aujue kuna elfu 20 yake
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

    Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde. Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Michezo cha EA Radio cha Usiku huu wana maana gani Kuanza Kipindi chao na Wimbo huu wa Christian Bella?

    Wimbo wenyewe ni ule usemao....Amerudi analia eeeeeehhh....Huruma....eeeeehh....Huruma...... Kuna nini labda Kimejitokeza Tanzania kwa leo ili nami nijue / nikijue? Kudadadeki.......Kimya leo Mitaani.
  19. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

    Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO kukata umeme usiku kucha si mnahatarisha maisha ya wananchi na usalama wa nchi?

    Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao. Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
Back
Top Bottom