Wimbo wa 'lakini tumejitahidi' usianze Kuimbwa kwa Taifa Stars baada ya Kuaga Mashindano bali lawama ziende kwa Wachezaji kwa Kutopambana hasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,575
108,931
Na tayari nimeshaanza Kuusikia huu Wimbo ukianza Kuimbwa na Watangazaji kadhaa wa Redio Asubuhi hii na najua kwa sasa baada ya Bahasha za Pesa za Makusanyo za Saidia Taifa Stars kupenyezwa kwa Wahariri, Watangazaji na Wachambuzi na ili Kujikomba kwa Mheshimiwa Rais huu Wimbo utaimbwa kila mara na Wengine hata kuwasaidia kupata Teuzi za Kisiasa / Kiserikali.

Wimbo pekee ambao tunatakiwa Kuuimba hasa ni kwamba 'tumetolewa kwa Uzembe, Wachezaji kutojitoa Kikamilifu na Siasa za CCM na Chawa wenye Nuksi kuhusishwa' basi.
 
tukatea, tukubali tulaumu, tusilaumu...

tumefikia ukomo wa uwezo wetu kisoka, kulingana na maandalizi yetu..

kunyoosheana vidole na kuzodoana hakusaidii chochote, sana sana kutatuchelewesha na kutuzubaisha kujiandaa na mashindano mengine yajayo...

Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo 🐒
 
Daaah fungulia mbwa
Ukimaanisha kuwa GENTAMYCINE niliyefungiwa Jukwaa la Michezo hapa JamiiForums ni Mbwa na kwamba nimefunguliwa.

Ubarikiwe kwa Wewe Binadamu ambaye umeona Mimi ni Mbwa na kama bado kuna Matusi mengine au Kashfa zingine unazo dhidi yangu tafadhali nakuomba uzitioe na Ukisharidhika utaniambia sawa?

Na wala sijakusahau kuwa hata nawe pia kama ilivyokuwa kwa Dr Matola PhD mara kwa mara mlikuwa mkiwaomba Moderators na mpaka JamiiForums Founder Maxence Melo kuwa NISIFUNGULIWE kamwe hili Jukwaa la Michezo kutokana na CHUKI zenu zisizo na Miguu wala Kichwa dhidi yangu.

Nakuacha na maneno Kuntu na Takatifu yaliyoko katika Kitabu cha Yeremia ( Jeremia ) 1:19.

Asante.

Cc: Moderators Cookie, YinYang, Active, Wand and Paw
 
Back
Top Bottom