wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu mnakwama wapi?

    Hii Wizara ishakuwa kidonda ndugu, ubora wa elimu unashuka kila kukicha wahitimu tunaozalisha hawakidhi vigezo vya soko la ajira. Shule zetu za umma uwiano wa wanafunzi kwa Mwalimu hauendani na uhalisia watoto wetu kila siku wanadaiwa hela na maelezo sahihi mwanangu wa Darasa la pili kila siku...
  2. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Maelfu waimba wimbo wa mdogo mdogo, Diamond akitumbuiza kule Guinnea Bissau

    Juzi Diamond Platnumz alikuwa Guinnea Bissau akipiga show , Wimbo wa mdogo mdogo ulipopigwa uwanja wote ulizizima na ikawa shangwe kila Kona chek video, video ni fupi ya dk moja
  3. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kushare nyimbo za Kisukuma

    Bhanamhala mhu le mhola hene? Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu. Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na wakarimu. basi uzi huu unaruhusu pia makabila mengine kuweka nyimbo zilizoimbwa kwa lugha zao ili tuweze...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unatafuta wimbo wa Gosple na hujaupata? Hata mimi pia

    Jamani naomba tusaidiane, kuna nyimbo za Gospel huwa nazitafuta na sizipati naomba kwa uzi huu ikiwezekana nifanikiwe. Mimi nawapa huu wa Malebo kama kuna yeyote anautaka ila mimi natafuta .. 1. Maisha yako wewe - Kijitonyama 2. "Shambani mwa bwana kuna mavuno watenda kazi ni wachache" "Ninani...
Back
Top Bottom