Harmonize ahofia kurogwa wimbo wake usifanye vizuri

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri.

Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani.

Hii ndio post Harmonize ame-share kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Snapinsta.app_421930675_18413432722004484_681342830867726526_n_1080.jpg


Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
 
Noorah na Ray C waliwahi kufanya ngoma na rapper wa marekani (D. Gritty) kabla hajaamua kumgeukia Mungu wake,
 
Back
Top Bottom