wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wangapi wanaukubali huu wimbo?

    Nimeukuta mtandaoni. Uusikilize mwenyewe!
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Wimbo wa Kiswahili (Africa Anthem) unaounganisha Mataifa yote ya Afrika

    Wimbo wa Kiafrika hatimaye umetoka... Ni kwa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi katika Bara la Afrika.
  3. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kupata wimbo huu wadau

    Kwanza moderator naomba usiupeleke uzi huu kule kwingine maana kule sijapata msaada Wimbo wenyewe unaimbwa... "Nalia woo wooo, nalia sana woo wooo ×2 Nataka kuwa mimi milionea, uwezo sina woo wooo Nataka gari ya kutembelea, uwezo sina woo wooo Masikini nadharaulika hapa duniani woo wooo Sina...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Ney umeimbwa na malaika ni mtego kwa bunge na utawala!

    Mashairi haya yamepangiliwa sio na ney Bali kuna malaika alisimama nyuma ya Ney! Hakuna aliyeachwa humo ndani ! Ni zaidi ya hotuba inayofaa kuisikiliza kwa masaa sita bila kuchoka! Soma: Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7 Dakika Tano za wimbo huu hazijaacha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa enjoy ungekuwa ni collabo kati ya Jux na msanii wa kawaida ingetisha sana

    Kuna muda unafika kwa Msanii mkubwa kutokuwa na jipya katika jamii hata utoe ngoma kali kiasi gani. Ndivyo ilivyo sasa kwa Diamond, hana jipya la kuwavutia mashabiki na wapenzi wa music, labda aimbe nyimbo zake za zamani. Watu wanataka ladha mpya kuanzia personality, sauti nk. Ni kama...
  9. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nautafuta huu wimbo

    Sijui nitaupataje. Unaimbwa na kwaya za kilutheri. Haya ni baadhi ya maneno: "Imetupasa kushukuru mno kwa neema yake....mimi na wewe leo wazima, hiyo ni neema...wenzetu hawapo wamekosa nini.....hawakuamka wazima....”
  10. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo au teaser ya kipindi cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi

    NATAFUTA wimbo au teaser ya kipindi Cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi. Tufirahi shangazi tufirahi shangazi
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

    "Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando mwizi wa wimbo wa Michael Jackson

    Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa. Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson. Baada ya...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo mpya wa Meja Kuta aisee ni moto wa kuotea mbali jamaa anajua sana

    Kama ushapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo mpya wa Meja Kunta utakubaliana na mimi jamaa anajua sana tofauti na waimba singeli ambao badala ya kuimba wanapiga piga kelele tu. Wimbo ni mzuri sana ,mashairi mazuri melody Kali Yani kwa kifupi hauchoshi kuusikiliza. Huyu kijana kwa kweli tumpe...
  14. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Wimbo flan umetend Sana TikTok naomba msaada kuupata

    Nimejarib Kila namna kuupata lkn wahsika wanaoucheza n hawa Sina hakika kama wanaonekana sawasawa
  15. W

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo mzuri sana unaelimisha jamii ila Wasanii sijawajua

    Ila Hawa wasanii sijawafahamu kabisa
  16. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

    Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu. Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Michael Jackson aliinama mbele digrii 45 mgongo ukiwa umenyooka kwenye ''Smooth Criminal Lean Dance'' bila msaada

    Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya kurudi wima. Wataalamu wa uti wa mgongo wanaonya wengine dhidi ya kujaribu hatua inayoweza...
  18. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuutambua huu wimbo kwa jina

    Habarini Wakuu, Samahani nahitaji kuutambua huu Wimbo kwa Majina.
  19. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye wimbo wa "Mwaka wa Tabu" anitusaidie

    Habari za muda huu waungwana? Naomba mwenye wimbo huo hapo juu anisaidie. Nadhani uliimbwa na Mchinga Sound kama sijakosea. Nitashukuru sana.
  20. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa na huu wimbo (Audio ) naomba auweke hapa, naukubali sana

    Golden tz - Lonely. Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata. Kwa mara ya kwanza niliusikia Clouds FM siku kama mbili zilizopita kwenye kipindi...
Back
Top Bottom