Fungieni huu wimbo unahamasisha Umalaya kwenye Jamii

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Kuna wimbo unaitwa "Huu Mwaka".

Kiukweli huu wimbo leo ndio mara yangu ya kwanza kuusikia. Nimeshangaa sana kusikia muimbaji akisema "Kudanga Danga sana ila usisahau kujenga kibanda"

Wimbo kama huu unawezaje kuachiwa uchezwe kwenye vyombo vya habari na wakati unahamasisha Umalaya/Kudanga kwenye jamii yetu.

RC Chalamila amekuwa anapambana kutokomeza biashara ya ngono, ameshindwaje kuuzuia huu wimbo usichezwe kwenye vyombo vya habari kwenye jamii yetu.?

Huu wimbo mtoto mdogo akiusikia unamjenga au unambomoa kimaadili?

NB: Mimi sisikilizaji Bongo Fleva ndio maana nimechelewa kujua kilichoimbwa kwenye huo wimbo.

Written by Mjanja M1
 
Clip ya wimbo bhasi
 
Wimbo mbaya kuna mstari wanaimba;

'Na ukipata limama, eh likomoe
Likupe pesa huu mwaka utoboe'

Ni upuuzi wa mwisho yaani na vijana wana ukariri kama kasuku
Ni upuuzi sana, yani leo ndio nimeusikia huo wimbo ukipigwa kwenye Radio ndio nikashangaa!

Kuna mambo yanachukuliwa poa lakini yana madhara sana kwenye jamii yetu.
 
Aisee! Hivi shuleni ulikuwa unaenda kufanya nini?

Yani kitu ambacho hata mtoto mdogo anaelewa wewe mtu mzima huelewi.

AMA KWELI UFAHAMU TUMETOFAUTIANA!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kaa kwenye nafasi yako, tuheshimiane.!!
Usitake kujifanya mjuaji, unaweza ukatuwekea maana halisi ya “kudanga” au umesikia kwenye nyimbo tyr umejibeba kuja kujaza server za Mello na minyuzi yako ya kufatilia maisha ya watu.?
 
Kuna wimbo unaitwa "Huu Mwaka".

Kiukweli huu wimbo leo ndio mara yangu ya kwanza kuusikia. Nimeshangaa sana kusikia muimbaji akisema "Kudanga Danga sana ila usisahau kujenga kibanda"

Wimbo kama huu unawezaje kuachiwa uchezwe kwenye vyombo vya habari na wakati unahamasisha Umalaya/Kudanga kwenye jamii yetu.

RC Chalamila amekuwa anapambana kutokomeza biashara ya ngono, ameshindwaje kuuzuia huu wimbo usichezwe kwenye vyombo vya habari kwenye jamii yetu.?

Huu wimbo mtoto mdogo akiusikia unamjenga au unambomoa kimaadili?

NB: Mimi sisikilizaji Bongo Fleva ndio maana nimechelewa kujua kilichoimbwa kwenye huo wimbo.

Written by Mjanja M1
Roho mbaya na ubwege huzalisha chuki
 
Back
Top Bottom