Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,348
- 17,870
Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League.
Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye video ya wimbo rasmi wa AFCON 2023 badala ya jezi za Taifa Stars.
Yanga imekuwa maarufu Sana viunga vya CAF.
View: https://www.facebook.com/CAFCLCC/videos/318388084381487/