Wimbo wa Harmonize "I made it" ni mkali au wa kawaida?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Finally Msanii Harmonize ameuachia wimbo wake wa "I made it" ambao kawashirikisha wasanii Bien wa kenya na Bobby Shmurda toka States.

Huu wimbo ulikuwa unasogezwa siku mbele kuachiwa, sio mara moja bali ni mara nyingi, na hapo juzi kati Harmonize alisogeza mbele kuutoa baada ya msanii Diamond platnumz kuachia wimbo Mapozi.

Vipi unauonaje huu wimbo, ni mkali au wa kawaida?

20240131_112039.jpg


Written by Mjanja M1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom