Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.
Anataka nisafiri ili nikaonane naye, na kama nitashindwa kusafiri itabidi yeye aje siku hiyo hiyo anifuate kwa sababu ana hamu sana ya shoo.
Wakati huo huo kwenye hiyo siku anayotaka tuonane naye, natakiwa nisafiri niende mkoa mwingine kwa shughuli za kibiashara, ambayo ni muhimu sana katika...
Imeniuma sana.
Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe..
Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi.
Leo ndio nagundua...
Machifu na Malkia
Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi?
Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo “Kimeumana” Mikito ipi ulipiga mpaka malkia akafika kilele cha utramu...
Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta...
pale unapougua, pale kazi inapokwama ndipo utajua ni nani alikuwa na wewe na ni nani alikuwa na kile ulichokuwa nacho.
Huu siyo uchungu bali hii ni uchujaji wa asili.
Mungu wakati mwingine anakuruhusu "ubaki wewe" ili akufundishe somo ambalo vigelegele haviwezi kukufundisha.
Unapobaki wewe...
Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29,
1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka 25 kushuka chini wanaishia kugombana pia wanamkataa sana haswa hawa wa 18-25 anasema wanaomba hela...
Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa lebanon sasa inapelekea kukuumiza sana kwa kudanganya watu kuwa TANU na nyerere waliua historia na...
Unaweza kuwa na mipango mingi, lakini hiyo mipango bila kuwa na watu sahihi wa kuitekeleza usitegemee kuwa tajiri.
Hawa watu ndio watakao kutengenezea vitu, watakao fanya mauzo, watakao toa huduma kwenye taasisi yako, ndio watakao chimba madini n.k, na wewe kuweza kuingiza pesa na hatimaye...
Habari wadau,
Nianze na mzizi wa umaskini unatoka wapi: Na mzizi wa umaskini haupo katika aina ya kazi, haipo katika chanzo cha kipato. Uhusiano kati ya unachotengeneza na unachokitumia ndio mzizi ulipo.
Je unachotengeneza na unachotumia inamaana gani?
Kutengeneza thamani maana yake ni kwamba...
NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari.
Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
Utapelekwa mahakamani,na uchochezi wako,yaani kile ulichochochea kwa kukiandika kita wekwa mbele yako!,utakana lakini kwa nguvu ya teknolojia itakutambua,kwa tarehe,muda na sasa uliyoweka utumbo wako!,ubaoni /
#Uzito wa ulichoandika kitaelekeza aina ya kifurushi unachostahili kupewa! Kwa kosa...
Wadau za wakati huu,
Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
Ishu sio kulala na Ashawo kichakani huku akiwa na Rand 2000 mfukoni ( Kama laki tatu na ushee ya kibongo) . Ishu ni kupiga chukuchuku ( Kufanya Raw Sex/ Sex bila condom) na Malaya wa DURBAN NATAL..
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Man Robbed After Dispute Over Sex Worker Payment: Verulam CBD - KZN
A man was...
Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma!
Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.