Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.
Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali.
Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini?
Ni wanataka kujua kuhusu nini?
Nashindwa kuelewa.
Kama Kuna kitu hujawahi kukigundua kwa muda mrefu basi ni hii👉 "Namna picha ya profile yako inavyokuelezea wewe ni mtu wa aina gani ndani na nje ya mitandao ya kijamii."
Hata hapa jamiiforums kabla yakusoma hoja ya mtu, kabla hujaangalia mada zake, na hata kabla hujajua yuko upande gani wa...
Dk Paula Cristina Roque
Dk Paula Cristina Roque ni mkurugenzi mtendaji wa Intelwatch, shirika linalofuatilia matumizi ya kisiasa na yasiyo ya kidemokrasia ya huduma za ujasusi na ulinzi katika nchi za Kusini mwa Dunia (Global South).
****
Mwangwi wa hivi karibuni wa kufunika ukatili wa baada...
Kwenye pakti za premium condom zenye brand nzuri na bei ya juu kama rough rider, Kiss na bull huwa ziko condom tatu.
Ulishajiuliza kwa nini?
Ni lwa sababu ili uichape na achapike hadi kuridhika lazima uende round angalau tatu kwa mechi moja.
Sasa wewe jiroge uende chini ya hizo utatafutiwa...
Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama;
(a). Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi?
(b). Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo.
Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa).
Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe.
Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.
Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata...
Siyo Serikali, Dini, Elimu au Jamii vitakavyoweza kukupa kile unachotaka haswaa. Toka nje ya kundi, wewe ndiye wa kujipa kile unachokitaka.
Toka nje ya halaiki, jitafute na ujipe kilicho chako. Hakuna njia rahisi zaidi ya kutoka katika kundi licha ya ukweli kuwa mizizi ya makundi imejiimarisha...
Kuna mtazamo fulani hatari sana wa kusubiri kuwa kuna wakati Mungu atakutendea jambo fulani na mtu unaamua kukaa kusubiri. Hakika hii ni hali ya hatari sana katika maisha yetu tulio wengi.
Tunaisahau Sheria muhimu sana ya kuwajibika " law of accountability". Ni sawa kuwa unaweza ukagundua...
Huwa nawashangaa sana wanaume ambao wakimwona msichana au mwanamke mzuri wa kuvutia lazima wajaribu bahati yao, iwe njiani, conference, baa, chuoni, safarini, kazini nk.
Hivi huwa hata mnajiuliza kwamba uzuri unaouona karibu kila mwanaume anauona, na anavutiwa nao na atataka kujaribu bahati...
Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana.
Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi.
Are you insane?
Hii kitu ipo na Sisi wanaume
Mambo mengi kichwani unawaza wa kwambia mbanga zako lakini unaona huwenda yeye akawa anapanga nzito kuliko wewe.
Mmkaa meza moja mnakunywa nyagi wanaongea Kwa furaha lakini wewe unajitahidi uwe pamoja nao kiakili lakini daah Moyo na akili vinakataa unajilazimisha...
Huyu ni IGP wa Kenya akitoa usia kwa askari wake. Ametulia anaongea kirafiki na kwa kujiamini bila kutaka jikomba kwa wanasiasa. Akitoa wito wa Polisi kutumia akili.
Halafu pata muda msikilize IGP wa Tanzania. Unamwona tu akili hana, elimu hana na anawaza kumwaga damu all the time.
Unakutana paap na mbunge wa ccm halafu unamnongoneza Kwa karibu ili mtu yeyote asisikie wewe ni jizi la kura atakufanya nini? Na hakuna shahidi aliyesikia maneno hayo ya kizalendo?
Ciao..!
waswahili wanakwambia maisha hayako na hayatokaa yawe fair.
kuna vitu sisi kama binadamu tunakua na matamanio navyo lakini no matter how hard you try unabakia tu kusema one day yes au unakata tamaa kabisa kwamba kitu fulani mimi hapana.
Mfano huko mashuleni tumesoma na watu wao...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya watu au makundi yanayohamasisha vurugu nchini, likisisitiza kuwa halitasita kuchukua hatua stahiki za kisheria kudhibiti ghasia na uvunjifu wa amani kwa kushirikiana na mamlaka za kiraia.
Katika taarifa rasmi kwa umma iliyotolewa leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.