Wengi hamuelewi hili ila masingo maza wenyewe wanakuona mwanaume mdhaifu or maybe retard kwa wewe kukubali kuwa step father😁

Wengi hamuelewi hili ila masingo maza wenyewe wanakuona mwanaume mdhaifu or maybe retard kwa wewe kukubali kuwa step father😁

Tunapochukua single maza tuhakikishe na watoto wao tunawatunza kama wetu
20260529_151832.jpg
 
Kaa mbali, acha kihere here😁 eti sijui boga na ua lake, hakuna kitu kama hicho, women are weird, bro.

MSIPANGIE WATU MAISHA, WAPO WALIO OA MWARI NA WAMEKALIA KUTI KAVU ...
IFIKE MAHALA TUJUE KUWA, HABARI ZINGINE NI PERSONAL (UAMUZI BINAFSI WA MTU)
KILA KUKICHA SINGLE MOTHER KAMA VILE HAKUNA HABARI NYINGINE....MUCH OF ANYTHING IS HARMFUL!!!
 
Mleta uzi hakuna sheria ya Mungu wala ya jamhuri inayovunjwa kwa mtu kuwa na single mother. Tujifunze kuheshimu maisha ya watu wengine ili mradi hawavunji sheria. Humu JF kuna nyuzi nyingi sana za kuwaongelea single mothers kama vile wana damu za watu mikononi mwao. Acheni huu upuuzi.
 
Ata kama ni single mother hakikisha ana makebo na sura ya kushawishi
 
Mleta uzi hakuna sheria ya Mungu wala ya jamhuri inayovunjwa kwa mtu kuwa na single mother. Tujifunze kuheshimu maisha ya watu wengine ili mradi hawavunji sheria. Humu JF kuna nyuzi nyingi sana za kuwaongelea single mothers kama vile wana damu za watu mikononi mwao. Acheni huu upuuzi.
Na wakome kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom