wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Kumbe mimi na wewe hatupo?

    Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo? Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai...
  2. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna tofauti kati ya 'Sphaghetti' na tambi. Mpaka sasa wewe unazifahamu ngapi?

  4. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume uliepo kwenye ndoa, umeoa au mme-oana na huyo mwenzako?

    Ugonile, kabla sijaendelea wale wa 50/50 hapa sio pahala pake. Binafsi sijaoa ivyo sitojikita sana kwenye mambo ya ndoa ingawa nmeishi na wanawake tofauti tofauti kwa nyakati tofauti na mpaka sasa ndo utaratibu wangu. kwa jinsi tulivyoumbwa ni wazi mwanaume ni kichwa cha Familia huku mwanamke...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bora tufikishane mbali potelea pote. Lakini huwezi nitandika Mbele za watu kisa wewe kiongozi bila Sheria kufuatwa

    BORA TUFIKISHANE MBALI POTELEA POTE. LAKINI HUWEZI NITANDIKA MBELE ZA WATU. KISA WEWE KIONGOZI BILA SHERIA KUFUATWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watibeli sio kwamba Sisi ni wajeuri. Hapana. Sisi ni watu wa principles, watu wa kanuni. 2. Ukishakuwa mtu wa principles watu wengi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Najitolea kuwa Mentor

    kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills. don't wish for less...
  7. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Wewe unayetaka na utakaye kuwa Rais 2030

    Habari !. Kwa wewe ambaye unataka kuwa Rais, nipo hapa Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Ajira Muda ukifika utanishtua. Sitagombea Ubunge nakupanga kabisa. Mimi nitapitia zile nafasi 10 sawa mkali. Asalaaam.
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Pale rafiki unayemwamini anapokugeuza fursa huku akikuona wewe bwege na mshamba

    Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa...
  9. Stability

    JamiiForums Tanzania Sababu huyo mdada uliyenae hajamrudia ex wake sio kwa sababu eti anakupenda wewe kumzidi, no, ni kwa sababu ex wake hajaonesha effort ya kumtaka tena

    Niliwahi kuwa na girlfriend back in 2018, Alienielezea namna jamaa alivyokuwa anamchapa makofi na muda mwingine kumuingilia kinguvu kingono. Na akasema hataka amrudie tena huyo mbwa Red flag ilikuja pale yule demu akawa anamzungumzia jamaa kila mara, nikagundua huyu fala bado bado ana miss...
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Wengi hamuelewi hili ila masingo maza wenyewe wanakuona mwanaume mdhaifu or maybe retard kwa wewe kukubali kuwa step father😁

    Kaa mbali, acha kihere here😁 eti sijui boga na ua lake, hakuna kitu kama hicho, women are weird, bro.
  11. Room 28

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungenipa sh. ngapi? Kuwa mkweli

    Hii plot nilinunua siku za nyuma kidogo kabla ya lami haijapita kutoka kishiri kwenda Buhongwa. Kwa mnaojua hii short cut ni kama m900 tu urefu wa hii barabara. Saizi naona nikauze kwa bei ya hasara milion 7.5 tu. Si pabaya maana rami n kutembea tu dk10 umefika . Mwanza viwanja siyo ghari...
  12. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Hakuna "Mimi" Wala "Wewe": Spiritual awakening(non-duality)

    Kabla sijaanza, nataka niweke wazi kuwa spiritual awakening si sawa na dini. Dini mara nyingi hutufundisha namna ya kumtafuta Mungu nje yetu, lakini spiritual awakening ni safari ya kujitambua ndani yetu. Si kuhusu kubadilisha dini, kuacha imani fulani au kuwa “mtakatifu”… bali ni kuanza kuhoji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwako wewe mwanaume

    Ujumbe kwako wewe mwanaume wa leo, mwanaume mramba lipsi, mwanaume mrembuaji, mwanaume unae amini eti mabadiliko ya sayansi na technologia yatakubadilishia maisha yako (sayansi na technologia scam tu kama scam nyingine) 👊 Hebu sikia!!!... Mwanaume wa kweli hapaswi kujilegeza, kuzubaa zubaa...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Best option yangu kwenye odds 1.3+ ni First Goal Scoring By Kicking, hainiangushi sana , Je wewe ni special option gani imekuchomesha sana.

    Watu wengi kwenye betting wanaogopa odds kubwa lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya special options zina odds ndogo kabisa kama 1.2–1.4 ila ndio zina mitego ya ajabu sana Zinaonekana rahisi mbele ya macho lakini football ni mchezo wa matukio yasiyotabirika. Unaweza ukaona option “hii lazima...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msichana, kubali kuwa wewe ni M-TAMISEMI, itakupunguzia maumivu kidogo

    Msichana Kubali Tu 😅 Afu weka Mikakati Yako Sawa 🥂 Mtaani kuna mengi yanazungumzwa kuhusu Watumishi wa Umma hasa hawa ndugu zetu wa Ajira Mpya ambao kila siku tunawaona wakilia kuhusu mazingira ya kazi na wengine wakiwemo wale wa Fedha za Kujikimu. Huyu dada Missywear amepost hii kitu huko...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Kama ulisoma hili gazeti wewe ni mwamba sana. tuambie maisha yanaendaje pande hizo

    :FireDuck:Agost 1985
  17. M

    JamiiForums Tanzania Leta methali, akikosekana wa kukujibu wewe ndiye mshindi

    Lugha yetu ya kiswahili ina methali nyingi sana ambazo si watu wote wanazijua au kuzitumia. Nitaanza kwa kuweka methali rahisi na maarufu sana, kisha ukinipa jibu toa yako au zako unazojua wengine wakijibu nao watoe zao, hapa kuna watu watajifunza na kuanza kuzitumia wasizojua. La kuvunda...
  18. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Tabia 7 zinazokuchelewesha maisani bila wewe kujua!

    Watu wengi huamini kwamba kuchelewa kufanikiwa ni bahati mbaya, ukosefu wa connection, au mazingira magumu pekee. Lakini ukweli ni kwamba kuna tabia ndogo ndogo ambazo watu huzifanya kila siku bila kujua ndizo zinazowarudisha nyuma polepole kwenye maisha. 😳 👉 Kwanini baadhi ya watu wana...
  19. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania 🧠⚡ JE, MAAMUZI YAKO NI YAKO KWELI… AU UBONGO WAKO UNAONGOZWA NA PSYCHOLOGY BILA WEWE KUJUA? 🤯

    Kila siku binadamu hufanya maamuzi kuhusu pesa, mahusiano, biashara, afya, kazi, na maisha kwa ujumla. Lakini ukweli wa kushangaza ni kwamba watu wengi hawaamui kwa logic pekee — akili, mazingira, emotions, habits, na psychology vina influence kubwa sana kwenye choices tunazofanya kila siku. 👉...
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Jirani akinyolewa wewe tia maji kichwa chako

    Raia wachoma magurudumu ya magari barabarani huku mgomo wa usafiri ukiendelea Kenya Chanzo cha picha,NMG Wahudumu wa uchukuzi wa umma wamesema watalemaza sekta ya usafiri hadi pale mamlaka ya udhibiti bei wa mafuta EPRA itabatilisha uamuzi wa kupandisha bei ya lita moja ya mafuta ya petroli...
Back
Top Bottom