Ungekuwa wewe ungenipa sh. ngapi? Kuwa mkweli

Ungekuwa wewe ungenipa sh. ngapi? Kuwa mkweli

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,693
Hii plot nilinunua siku za nyuma kidogo kabla ya lami haijapita kutoka kishiri kwenda Buhongwa.

Kwa mnaojua hii short cut ni kama m900 tu urefu wa hii barabara.

Saizi naona nikauze kwa bei ya hasara milion 7.5 tu.

Si pabaya maana rami n kutembea tu dk10 umefika .
Mwanza viwanja siyo ghari ukishindwa kumiliki hapa we sahau

IMG_9294.jpeg
IMG_9293.jpeg
IMG_9292.jpeg
 
Hiyo nyumba ya Jiran ina umeme na maji?.

Ukubwa wa kiwanja sqm ngap?.

Mbona sioni miundo mbinu ya barabara.
Anyway..pia naona nyumba zimebanana sana.
 
Lami sio Rami

Mtu akiniandikia sms ya hivo anachanganya herufi huwa simjibu, kama ni jambo la muhimu sana nampigia tumalizane, maana tukichati ni kasheshe !
Rekebisha mtazamo wako!! Labda kama ni activist wa Lugha
 
Hiyo nyumba ya Jiran ina umeme na maji?.

Ukubwa wa kiwanja sqm ngap?.

Mbona sioni miundo mbinu ya barabara.
Anyway..pia naona nyumba zimebanana sana.
Hajavuta,
Lami n dk 10 ! Hapo kuna bara bara ya mtaa tu ya kuja kwene hicho kiwanja na huyo jiran
 
Kama kawaida, wasukuma kujenga karibu na mimawe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom