wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Migodini Kuna Trucks zina hadi engine ya cc 90,000 na ni kubwa kiasi kwamba wewe na urefu wako haufiki katikati ya tyre.

    Kuna vitu vinashangaza. Ukipata wasaa wa kuingia migodini, hasa hasa open pit, utakutana na dumpers (dumping trucks) zenyewe zinafanya kazi sana sana ya kubeba udongo kutoka walikoblast kwenda kwenye crushers. Bwana aya madude ni makubwa. Sana. Kwanza kupanda unapanda na kushuka kwa ngazi...
  2. masai dada

    JamiiForums Tanzania kwa wafanya biashara tu;ingekuwa wewe ni sandaland ungefanyaje?

    hamna hamna hii issue inaweza ikakata mtaji: ingekua ni mimi ningechutama kwa Waziri aingie front kunisafisha kwa situation ya kisiasa ilivyo bongo ni kulinda mtaji tu
  3. min -me

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unapo piga mamsi wewe ndio unajua wakati wakuachwa

    .
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kama unaweza kuchinja ng'ombe, ng'uruwe wewe ni katili kupindukia

    Wewe unaweza kabisa kumkata binadamu mwenzako kichwa, ukiona ng'ombe anachinjwa hofu anayokuwa nayo unamuona anatetemeka kabisa lakini wewe unaendelea kushusha panga, that's why nikachagua kuwa vegetarian by choice, wewe upo kundi Moja nawatekaji tu Yani hushindwi kabisa kumkata binadamu...
  5. The celebrity

    JamiiForums Tanzania Identity ya mtu — wewe ni nani hasa?

    IDENTITY YA MTU — WEWE NI NANI HASA? Swali linaonekana rahisi: “Wewe ni nani?” Jina lako? Mwili wako? Kumbukumbu zako? Personality yako? Au kuna kitu kingine kinachokufanya uwe wewe? Twende deep. Fikiria umeingia hospitali na kuna mtu anayefanana nawe kabisa. Ana DNA yako, uso wako...
  6. chumanile

    JamiiForums Tanzania Tuambie majina yako ya utani tukujue wewe ni wa kishua au mtoto wa kitaa

    Members. KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu. Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata ukiniambia niyarudie sito kubali. Nimeisha katika MAZINGIRA magumu mno, KIASI Cha kujitegemea nikiwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi CCM, tunzeni akiba ya maneno mnapokuwa mnazungumza

    Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia. Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana. Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa. Nawakumbusha, walikuwepo na...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna tumaini la kesho bora wewe kijana uliewekeza katika upole na unyenyekevu maana wanaokusubiri mchezoni hawakutazami kama mstaarabu bali mnyonge

    Katika hii dunia ambayo walio top ya foodchain ni fisi tena fisi wenyewe wana hurka ya kula mnyama akiwa hai, yaani hawa kabi kwanza shingo ufe, unaanza kuliwa huku ukishuhudia. Ndoto za watu wengi zimepotea kwa kuingia katika huu mchezo wa maisha kwa style ya ustaarabu, kuna tofauti kati ya...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Je INGEKUA wewe ungefanyaje kwa watu ambao hawataki uwe hapo ulipo?

    Ukipata tatizo, wake kwa waume, wananchi kwa watu maarufu, viongozi wa DINI kwa viongozi wa kimila, wasanii, matajiri, wote wanakuja kwako wakiwa wanaburuzika na magoti, wanakuhusudu na kukuabudu kama mwokozi wa maisha Yao. INGEKUA Mimi, nshajipatia nchi ya watu wa aina hii, ningekua kama...
  10. bullbar

    JamiiForums Tanzania Hili la DCI, CDF na IGP aibu utaona wewe..🤣🤣

    Ikumbukwe hao wote ni makada na watu wa kupokea maagizo tuu na maelekezo. Wengi wao wamepachikwa kwa utashi na shukrani kutoka namba moja pale kwenye wingi wa gogo, na watu ambao kumbukumbu zimeshaanza kuwaacha, sasa msije shangaa mtu anatoa siri za aliye mtuma. Kiuhalisia wote wanaujua uwezo...
  11. min -me

    JamiiForums Tanzania Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?

    Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ? Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔 Wewe ni bora ungekufa tu tupate mbolea ya kurutubisha udongo bwashee 🤔
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kitu, ukizoea kujiropokea na kutukana ovyo omba usifikishwe mahakamani. Aibu utaiona wewe.

    Hebu na wewe sikiliza mahojiano haya kisha jipime mwenyewe. https://youtu.be/ft0IaABC254?si=KGte3w-tQz32SYib
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu historia itamkumbuka mshindi tu, haijalishi alifanya vigisu kiasi gani kukushinda au kukudidimiza wewe, kwa hio jitahidi usife kikondoo

    Muachie mark awe anaikumbuka. Wanyanyasaji wa ndani huwa wana invest sana nje ili ku-modify heshima yao. Ila wewe mnyanyaswaji utaonekana boya na mdhaifu.
  14. bless on

    JamiiForums Tanzania Wewe ni nani? Safari ya kujitambua

    MIMI SIO MIMI... Kuna swali ambalo mwanadamu huliepuka kwa sababu likiulizwa kwa umakini linavuruga kila kitu alichodhani anakijua kuhusu yeye mwenyewe: “Wewe ni nani?” Ukijibu, “Mimi ni mwili,” swali linarudi: mwili upi - ule wa utotoni, wa ujana au huu wa leo ambao kila siku unabadilika...
  15. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Vaa vizuri, jipende, pendeza. Mwonekano wako wa nje unawakilisha wewe wa ndani.

    Kuna msemo kwamba "don't judge book by its cover" Sawa na usimhukumu mtu kwa mwonekano wake; Kisaikolojia sivyo wanadamu wanacyofanya kazi. Kama mtu humjui na hujapata nafasi ya kuongea naye (hajajitambusha kwako), utamhukumu kwa namna utakavyokuwa ukimuona. Na mchakato huo hufanyika ndani...
  16. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mtu hajakuomba ushauri, wewe unamshauri, halafu hujui namna ya kushauri, nyambafu!

    Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri. Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli! Ukumanyoko wala si dili! 😎
  17. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania HOTELI YA BILIONI 132, YAFUNGULIWA ZANZIBAR ALAFU WEWE KUWEKEZA 5M UNAJIITA MFANYABIASHARA NA UNACHOMEKEA KABISA

    Siwatishi ndugu zangu ndio hali halisi ilivyo, Leo majira ya saa tisa nimekutana na msafara wa dkt mwinyi mtoni mess sikujua anaenda wapi kumbe alikua ana pelekea pwani mchangani kufungua hiyo hotel, bilioni 132 imetupwa hapo, alafu mtu UNAJIITA una hela umewekeza 10m una hela una heleni ?
  18. min -me

    JamiiForums Tanzania Digidigi wa mapenzi.

    Kwa vijana wa kiume, acha kupenda wanawake wabovu wa sura na umbo , wao vigezo vyao ni pesa , hivyo jichimbie ,saka pesa , ukizisaka tafuta mwanamke mzuri wa sura na umbo. Kwa wanawake acha kusaka wanaume kisa tu ana pesa bila kufikiri future ya mtoto utakae zaa nae inakuaje 🤔...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi nafikiri wewe mshabiki wa man utd mwenzangu tuachane na matumaini tena, ili kulinda afya yako ya akili achana na kujipa moyo tena.

    Usiishabikie man utd kwa moyo kama ule uliokuwa nao kipindi cha fergie. Its over.
  20. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wewe ambae mke wako aliombewa akapata mimba pasipo kulala nae pegea Yeso makofe matato tafazale

    Wewe ambae mkewako aliombewa akapata mimba pasipo kulala nae pegea Yeso makofe matato tafazale🤣🤣
Back
Top Bottom