Jirani akinyolewa wewe tia maji kichwa chako

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,792
Reaction score
8,097
  1. Raia wachoma magurudumu ya magari barabarani huku mgomo wa usafiri ukiendelea Kenya​

    .

    Chanzo cha picha,NMG
    Wahudumu wa uchukuzi wa umma wamesema watalemaza sekta ya usafiri hadi pale mamlaka ya udhibiti bei wa mafuta EPRA itabatilisha uamuzi wa kupandisha bei ya lita moja ya mafuta ya petroli iliyopanda kwa senti 16 za dola moja ya Marekani na lita moja ya mafuta ya dizeli ambayo imeongezwa kwa senti 23 za dola moja ya Marekani.
    Kulingana na vyombo vya habari vya ndani nchini Kenya, mitaa yenye idadi kubwa kama Rongai, Kawangware, Kitengela imeshuhudia ukosefu wa usafiri wa umma, huku baadhi ya wahudumu wakiwasha moto magurudumu ya magari na kufunga barabara.
    Katika barabara ya Ngong, baadhi ya wahudumu wamefunga barabara kwa kutumia mawe na pia kuchoma moto magurudumu. Polisi wako katika eno hilo kwa sasa kudhibiti hali.
    Katika barabara kuu ya Thika, baadhi ya wenye magari wamelazimika kubadili mwendo kujilinda dhidi ya waandamanaji ambao wamewasha moto barabarani.
    Polisi wamelazimika kufyatua mabomu ya kutoa machozi katika mtaa wa Kayole ambapo wahudumu hao walikuwa wamefunga barabara.
    Abiria waliozungumza na vyombo vya habari walisema kwamba wanatakiwa kulipa shilingi elfu moja za kenya kutumia bodaboda kufika mjini Nairobi, gharama ambayo ni ya juu sana kwa wengi kumudu.
    Msemaji wa huduma ya polisi Muchiri Nyaga katika tarifa aliyochapisha usiku wa kuamkia Jumatatu hii, alisema kwamba polisi hawatakubali utovu wa usalama wa aina yoyote huku wakitambua kwamba haki ya kufanya maandamano ipo katika Katiba ya nchi.
    Katika mtaa wa Zimmerman, wahudumu hao wamewasha moto kwa magurudumu ya gari huku wakiweka mawe pia barabarani.
    Pia unaweza kusoma:

    Mshirikishe mwenzako, Raia wachoma magurudumu ya magari barabarani huku mgomo wa usafiri ukiendelea Kenya
  2. Saa 1 iliyopitaMgomo wa usafiri waanza Kenya kupinga bei ya mafuta​

    d

    Raia wengi nchini Kenya wamejikuta wakipata ugumu wa kufika kwenye maeneo yao ya kazi asubuhi ya leo baada ya wamiliki wa mabasi ya abiria pamoja na waendesha bodaboda kuanza mgomo wa kushinikiza serikali kushusha bei ya mafuta.
    Waandaaji wa mgomo huo wanasema ongezeko la gharama za mafuta limeendelea kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida. Aidha, wametaka mamlaka ya udhibiti wa nishati na mafuta, EPRA, kuvunjwa wakidai imeshindwa kudhibiti bei hizo.
    Mbali na sekta ya uchukuzi wa umma, shughuli za usafirishaji wa mizigo na utalii pia zinatarajiwa kuathirika kutokana na mgomo huo unaoendelea katika maeneo mbalimbali nchini humo.
    Mgomo huo umeanza siku chache baada ya wahudumu wa usafiri wa umma kutangaza kuongeza nauli kwa asilimia 50 kufuatia bei mpya za mafuta zilizotangazwa Mei 14.
    Kwa sasa, lita moja ya petroli jijini Nairobi inauzwa kwa shilingi 214.25 huku dizeli ikiuzwa kwa shilingi 242.92.
 
Manake bei nikama tsh 4200 au 4300 tufike wkt wawauzie magari makubwa tu yanayotoa uduma kwa uma. Gari ndogo zingoje mgogoro uishe,
 
Na bado hayo magari yenu mtaweka mikojo maana bado Iran kavimba
 
Back
Top Bottom