Najitolea kuwa Mentor

Najitolea kuwa Mentor

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
952
Reaction score
2,803
kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor

nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima

mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills.
don't wish for less problems, wish for more wisdom
 
AF5F3FD3-B343-442D-8AF4-840E1F92B04B.jpeg

Hey mentor?
 
kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor

nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima

mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills.
don't wish for less problems, wish for more wisdom
Natamani nibadili tabia yangu. Utaratibu ukoje?
 
Back
Top Bottom