Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 756
- 2,672
Niliwahi kuwa na girlfriend back in 2018,
Alienielezea namna jamaa alivyokuwa anamchapa makofi na muda mwingine kumuingilia kinguvu kingono. Na akasema hataka amrudie tena huyo mbwa
Red flag ilikuja pale yule demu akawa anamzungumzia jamaa kila mara, nikagundua huyu fala bado bado ana miss makofi ya msela😁
Baada ya mwezi mbona bado walirudiana na akaniblock kabisa😆