Pale rafiki unayemwamini anapokugeuza fursa huku akikuona wewe bwege na mshamba

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
368,278
Reaction score
851,918
Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF
Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk

Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa muda ama kuwa mbali unaamua kumtumia yeye

Huyu mtu badala ya kuwaza uaminifu wako kwake yeye anaanza kukuwekea password😂

Cha kuuzwa buku atakipandisha mpaka buku3 I'll ushuke mpaka buku 2 atengeneze buku na bado hapo utamtoa...😂
 
Watanzania wengi kwenye uaminifu ni zero.

Cha ajabu kabisa ukiwa sio mtu wa kupenda kuongeza sifuri mbele wanakuona huna akili. Wenye akili ni wale wenye mbinu kadhaa za kujiongeza kwa wizi.

No wonder hata huu ufisadi tulionao umeanza from the grassroot.
 
Tatizo letu sisi ni tumejawa na Ubinafsi, Tamaa na Ujinga..

Binafsi nimeshatapeliwa sana na Mungu ni mwema, sijawahi kuanguka...

Na Most of them; Karma serves them very severely, na bado wanakuona kama ndiye umewakosea..
 
Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF
Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk

Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa muda ama kuwa mbali unaamua kumtumia yeye

Huyu mtu badala ya kuwaza uaminifu wako kwake yeye anaanza kukuwekea password😂

Cha kuuzwa buku atakipandisha mpaka buku3 I'll ushuke mpaka buku 2 atengeneze buku na bado hapo utamtoa...😂
Hahaha
 
Aliye mkamilifu asilimia 100 aje ampige mawe
sir baudelaire.jpeg
 
Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF
Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk

Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa muda ama kuwa mbali unaamua kumtumia yeye

Huyu mtu badala ya kuwaza uaminifu wako kwake yeye anaanza kukuwekea password😂

Cha kuuzwa buku atakipandisha mpaka buku3 I'll ushuke mpaka buku 2 atengeneze buku na bado hapo utamtoa...😂
Basi mimi niko unique sana, kuna naongeza hadi pesa zangu! Kuassist mwana apate anachopenda.

Mfano wiki kadhaa hapo nilikuwa mahali mwana akaniomba nimnunulie tablet kiukweli kwa pesa ya bongo ilikuwa inafika 320k mshikaji akatuma 280k akijua hiyo niliyomtajia kuna commission yangu 😂😂.

Sasa nilichofanya niliongezea hela yangu, na nilihakikisha anajua kuwa nimeongeza hela, baada ya mimi kujua yeye pia alikuwa ameombwa na mtu ambaye alikuwa amempa zaidi ya hiyo.
Alijieleza sana 😂😂
Sema maisha ndivyo yalivyo!
 
Tatizo letu sisi ni tumejawa na Ubinafsi, Tamaa na Ujinga..

Binafsi nimeshatapeliwa sana na Mungu ni mwema, sijawahi kuanguka...

Na Most of them; Karma serves them very severe, na bado wanakuona kama ndiye umewakosea..
Mkuu, umerejea jukwaani!!
Hakika tumekuwa wazee sasa.
 
Basi mimi niko unique sana, kuna naongeza hadi pesa zangu! Kuassist mwana apate anachopenda.

Mfano wiki kadhaa hapo nilikuwa mahali mwana akaniomba nimnunulie tablet kiukweli kwa pesa ya bongo ilikuwa inafika 320k mshikaji akatuma 280k akijua hiyo niliyomtajia kuna commission yangu 😂😂.

Sasa nilichofanya niliongezea hela yangu, na nilihakikisha anajua kuwa nimeongeza hela, baada ya mimi kujua yeye pia alikuwa ameombwa na mtu ambaye alikuwa amempa zaidi ya hiyo.
Alijieleza sana 😂😂
Sema maisha ndivyo yalivyo!
Brother watu kama nyie mpo Ila kwa uchache mno.. Na haya mambo yalivyo ya ajabu ukitenda kwa usahihi na kwa uaminifu hata mbingu zitasema💪🏿
 
Basi mimi niko unique sana, kuna naongeza hadi pesa zangu! Kuassist mwana apate anachopenda.

Mfano wiki kadhaa hapo nilikuwa mahali mwana akaniomba nimnunulie tablet kiukweli kwa pesa ya bongo ilikuwa inafika 320k mshikaji akatuma 280k akijua hiyo niliyomtajia kuna commission yangu 😂😂.

Sasa nilichofanya niliongezea hela yangu, na nilihakikisha anajua kuwa nimeongeza hela, baada ya mimi kujua yeye pia alikuwa ameombwa na mtu ambaye alikuwa amempa zaidi ya hiyo.
Alijieleza sana 😂😂
Sema maisha ndivyo yalivyo!
❤️❤️ nipo kama wewe issue za kuzidisha sifuri siwezi
Ila watu wakijua hiyo weakness wanitumia tena vibaya
 
Watanzania wengi kwenye uaminifu ni zero.

Cha ajabu kabisa ukiwa sio mtu wa kupenda kuongeza sifuri mbele wanakuona huna akili. Wenye akili ni wale wenye mbinu kadhaa za kujiongeza kwa wizi.

No wonder hata huu ufisadi tulionao umeanza from the grassroot.
Mbongo leo akisikia ripoti ya CAG jinsi pesa zilivyoliwa analia lia kuhusu ufisadi na wakati huo huo kukiwa na waziri ambaye hajaamua kutumia vibaya madaraka anaonekana bwege.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom