wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

    Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala. Tofauti ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania America ,Europe na Asia wapewe mauwa yao

    IPO wazi hawa jamaa WA Asia (china , south Korea na,japan) Europe na america wamebadilisha maisha ya hii planet earth kweny angle ya science, mathematics, sports n.k isingekua wao Bado tungekua tunaishi maporini. Kama mzungu na muasia angelala Leo ungekuta hakuna simu,hakuna Tv,hakuna...
  3. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business?

    Hivi ni Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business? Ina faida sana ama ni biashara ndani ya biashara.
  4. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi ni wabishi?

    Hello, Zamani nilikua najua watu wafupi au ndugu zetu wa upareni, Tanga, Morogoro na Kigoma ndo wabishi tu kumbe nilijidanganya. Sasa nimekuja kugundua wabongo wengi tuna hulka ya ubishi, sio wanaume sio wanawake, sio vijana sio wazee, sio warefu sio wafupi, sio mtandaoni sio kwenye maisha...
  5. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana na baadhi ya matendo ya watu wa Imani ambao nilikuwa na waamini sana ila mwisho wa siku wanafanya mambo kinyume na maelekezo ya Dini...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi

    Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini? Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa fujo fujo tofauti na timu zingine mfano Timu ya wananchi (Yanga)
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanaishi FAKE LIFE, wasikupe presha

    Moja kwa moja nazama kwenye hoja nikiwa najiuliza kwanini vijana wengi wanapenda kuishi FAKE LIFE. Kwanini ukarifishe moyo? Yanini hujipe presha? Asilimia kubwa ya vijana wengi wanaigiza maisha yao,utawaona wanapost kwenye mitandao kuwa wana maisha manzuri kiukwel ni makapuku ya...
  8. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya

    Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano: Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani. Vikao vya Mke na Mume...
  9. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

    Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k. Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta...
  10. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hii nchi inawahitaji kina Paul Makonda wengi

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaula wa chuya! "Watu wanaopaswa kufa kwenye hii nchi ni wengi kuliko walio hai" Hii nchi ya Tanzania bila kuwa na kiongozi Katili,muonevu,mtoa amri za kutisha na asiye cheka cheka ovyo hatuwezi kusonga!. Mfano mzuri ni Chuma Cha Pua...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini jamii kubwa ya Wayahudi ni matajiri na chuki dhidi yao ilivyokuzwa enzi na enzi

    ■AHADI Mungu alimbariki mzaliwa wa Ibrahim, Isaac, ambaye ndie mtoto halisi wa familia ya Ibrahim na Sarah iliotambulika kama ndio familia asilia ya agano la nchi ya ahadi dhidi ya mzaliwa wake wa kwanza aitwae Ismael aliezaa na mjakazi wake kutokana na utasa wa Sarah kabla ya kuambia...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Kinaendelea Kawe mbona 'Mabaka Mabaka' wengi sasa wamekuwa Waoga, hawatembei hovyo Mitaani na wanatia Huruma?

    Nyie si ni Wababe ( Wapigaji na Watesaji ) wa Raia sasa mbona hivi sasa mnajishtukia sana Mitaani?
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Tafuta mwingine wapo wengi

    Heshimu mahusiano ya wengine, anzisha wa kwako. Yanini kuhangaika na samaki aliyekwisha vuliwa wakati kuna samaki wengi baharini.
  14. Kidaya

    JamiiForums Tanzania Saratani ya Matiti, saratani inayowapata watu wengi

    Saratani ya Matiti ni nini? Kwanza, Saratani ni ugonjwa unaosababishwa na kugawanyika kwa seli za kiungo chochote mwilini bila kufuata utaratibu wa kawaida hivyo kusababisha kuzaliwa kwa seli zenye ukubwa, umbo na uwezo wa kufanya kazi tofauti na inavyopaswa, na kusababisha dalili hatarishi kwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa kabla ya wakati wao kwa sababu ya laana kutoka kwa wazazi

    INTRODUCTON. Salaam, Shalom!! (Kutoka 20:12) says: WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO, ILI SIKU ZAKO ZIKAWE NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA MUNGU WAKO. Leo naandika mada hii nikiwa na Sina furaha sababu Mimi Rabbon pia ni Mwanaume. Wanaume tulipoambiwa tuishi Kwa akili na wake zetu, au na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

    Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingilia kati utoaji wa mikopo mwaka 2023. Kwa Trend hii ya HESLB, wengi hawatakwenda vyuoni

    Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji. 1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi) 2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta. 3. Congratulations your application is successful...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wadau wengi wa Mpira wanasema leo hawatopoteza muda wao kutazama mechi ya Wakuja?

    Binafsi kama GENTAMYCINE sitoiangalia kwakuwa tayari Matokeo yake ninayo, ambapo Wakuja watafungwa Goli 3 au 4 au 5 na hata 6 kama wakilegea kwa Spray ya vyumbani na kwa Muamala uliofanyika kwa baadhi ya wachezaji iliyopitia kwa Mchezaji aliyeondolewa Timu hiyo na kwenda kwa Wakuja FC kutokana...
  19. Daydream

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wana wapenzi lakini bado wanajichua?

    Unakuta kijana wa kiume yuko na wapenzi si chini ya wawili lakini haachi kujichukulia sheria mkononi (Kujichua) Je, ni kwamba anakua haridhiki anapofanya ngono na mwanamke wake au mwanaume wake? Sina uhakika sana kama watoto wa kike nao huwa wanajichua hata kama wana boyfriends ila hata kama...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

    Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono. Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake. Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi...
Back
Top Bottom