Hii nchi inawahitaji kina Paul Makonda wengi

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaula wa chuya!

"Watu wanaopaswa kufa kwenye hii nchi ni wengi kuliko walio hai"

Hii nchi ya Tanzania bila kuwa na kiongozi Katili,muonevu,mtoa amri za kutisha na asiye cheka cheka ovyo hatuwezi kusonga!.

Mfano mzuri ni Chuma Cha Pua JPM(RIP).

Hii nchi imejaa wapumbavu wa kutosha na bila kudili nao perpendicular kiukweli hatuwezi kutoboa,hizi kelele za wapinzani na wanaharakati kwamba tunahitaji demokrasia,ndiyo zinazotufanya hatusongi mbele!.

Bila kuwa na kiongozi katili, muonevu, asiye cheka ovyo hatuwezi katu kupiga hatua.

Rais Samia ni Rais ambaye hana hivyo vigezo na ndiyo maana nchi imemshinda, majitu yanapiga pesa kila uchwao, hakuna miradi inayokamilika na hatimaye tumerudi nyuma kimaendeleo, hii yote ni kwasababu ya kucheka na hii ngozi nyeusi iliyoshindikana!

Hii ngozi nyeusi bila kupata kiongozi mwenye haiba ya Paul Makonda hatuwezi kusonga kamwe!

Ili tusonge mbele tunahitaji kiongozi KATILI, MUUWAJI, ASIYECHEKA OVYO, ASIYEKUWA NA HURUMA NA MPENDA MAENDELEO.

MAKONDA ANAFAA KUWA RAIS WA NCHI!.
 
Nakuunga mkono kuhusu aina ya kiongozi anayefaa Tanzania. Kweli JPM alitufaa sana.
Ila kwa bashite nakataa noooooooo, big no.
Hatuhitaji mtu huyu.
 
Back
Top Bottom