wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

    Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo. They did rejoice on 7th October right?
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Serikali za Kiafrika wanaabudu ni wafuasi wa shetani ndio maana hawana utu na ubinadamu

    Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula chao. Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine. Ni hayo tu
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sponsor wa Mkutano wa COP28 lengo lake ni kutengeneza machawa wengi kwenye nchi mbalimbali

    Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa. Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimegundua makazini, watu wengi wanaogopa bosi wao, kuliko wanavyomwogopa Mungu

    Habarini, Yaani mtu kabla ya kuongea chochote, let's say kwenye group la Whatsapp, mtu anawaza mara tatu tatu ndiyo aongee, mtu anakua veeery careful kuhusu anachoongea. Utakuta unaona changamoto fulani kwenye idara, iliodumu kwa muda mrefu kiasi, na kuna uwezeoano mkubwa ikiendelea itaenda...
  5. Miti7

    JamiiForums Tanzania Waliozaliwa tarehe zifuatazo wengi wao huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

    Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist Waliozaliwa kati ya 1. Januari 20 mpaka February 18 2. May 21 mpaka juni 20 3. August 23 mpaka September 22 4. December 22 mpaka January 19 Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists) Kama wewe ni...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi holela ya Israel. Gaza yafanya Wapalestina wengi kuwaunga mkono Hamas

    Wanaukumbi. 🚨 Kura ya Kura ya Kushtua: 75% ya Wapalestina Wanaunga mkono Shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israeli Ni asilimia 13 pekee ya Wapalestina wanaopinga mgomo wa Oktoba 7 dhidi ya Israel, ambao ulisababisha vifo vya watu 1,400. Kura ya maoni ya Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti na...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yadai nusu ya walioenda COP28 wamejigharamia wengine wamegharamiwa na sekta binafsi

    Serikali imesema karibu nusu ya ujumbe wa Tanzania ulioshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), umegharamiwa na sekta binafsi. Ufafanuzi huo, umekuja baada ya juzi na jana kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu idadi kubwa ujumbe wa Tanzania...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye rangi, sura na shepu mbaya ndiyo wanaoongoza kwa kuchakatwa

    Sababu kubwa ni 2 tu. 1. Wanaume kwa asili huwa wanamtongoza mwanamke ambaye wanamuona ni mnyonge (ambaye hana sifa zote za uzuri) ili kuwa na uhakika wa kukubalwa. Wanaume huogopa kutongoza pisi kali kwa hofu ya kukataliwa. Kwahiyo wanaume huwatongoza zaidi hawa wadada wenye sura, nyayo na...
  9. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  10. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wazuri wanatuingiza gharama kubwa na kitandani hawana miujiza. Watoto wa Uswazi ni watamu sana ila wachawi kama Mshana Jr

    Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara. Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana...
  12. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Wanaoshabikia Hamas ni wengi hapa nchini. Je, ni kwa nini?

    Nimepita mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini. Nimesikia maoni ya baadhi ya vijiwe mitaa ya Korogwe, Tanga mjini, Dar nk, Wanaosupport Hamas ni wengi. Tundu Lissu naye kaunga mkono Hamas. Ni nini Maoni yako?
  13. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi kuburuzwa na viongozi tatizo ni ubovu wa elimu yetu au nini

    Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa, Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada. Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau...
  14. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
  15. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi wengi wa Serikali wanapenda kutengeneza mazingira ya kupewa hela katika huduma wanazotoa?

    Mzuka, Hivi ni Serikali haiwalipi watumishi wake au shida ni nini? Yaani unaenda kufata huduma ofisi za Serikali lakini mtoa huduma muda wote anatengeneza mazingira ya kupewa hela (rushwa). Ofisi imeandikwa kabisa huduma hiyo ni bure lakini yeye anataka umpe hela akusaidie wakati hilo ndo...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Askari Polisi wengi hawana ajira za kudumu? Ni kama vibarua?

    Hii ni Post ya kuomba UELEWA. Kuna Mahali nilikua nimekaa na Wadau zikaanza story hapa na pale, Kuna jamaa akasema Polisi hasa wa rank ndogo na hawa akina kajamba nani HAWANA ajira za kudumu Hadi ufikie Rank Fulani? Akaendelea kufafanua kuwa hawa ni Wafanyakazi wa "Idara" na sio watumishi wa...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa Umma tumeachwa Kimaisha na Wajasiriamali wadogo

    Hi! Si Wajasiriamali wote kwamba wana maisha mazuri kuliko Watumishi wa Umma ila nataka kusema kuwa wapo Wajasiriamali wengi tu ambao hata leseni ya biashara hawana, Kodi hawalipi kabisa na Serikali haiwatambui lakini wana pesa kuliko wenye maduka ambao hulipa Kodi kwa VAT. Kuna Jamaa anauza...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

    Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba: 1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii. 2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii. Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo...
  19. muwanjiKT

    JamiiForums Tanzania Msaada: Buibui ni wengi kwenye pagale langu

    Msaada tafadhali dawa gani ya kuua hawa viumbe
  20. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

    Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Back
Top Bottom