Mesehomie

Member
Oct 25, 2023
30
177
IPO wazi hawa jamaa WA Asia (china , south Korea na,japan) Europe na america wamebadilisha maisha ya hii planet earth kweny angle ya science, mathematics, sports n.k isingekua wao Bado tungekua tunaishi maporini.

Kama mzungu na muasia angelala Leo ungekuta hakuna simu,hakuna Tv,hakuna gari,ndege,meli Yani hakuna chochote.

Wenzetu wanawaza kuanzisha maisha sayari nyingine Sisi tunawaza uchawi ,chuki ,roho mbaya

Waafrika wengi including black Americans tunashida Pahala hususani thinking capacity

TZ uiingia tiktok, Instagram,fb ni post za mapenzi ,mapenzi Yani Kila MTU ni kungwi WA mapenz agenda kuu ni makalio ya wadada na namna ya kumfikisha mwanamke kileleni

At the same time tiktok version ya china inaonesha vijana /wanafunz wakifanya Challange mbali mbali kweny science, mathematics, speech,sports, culture n.k

Asia na Europe na america wamefanikiwa simply because wametupilia mbali mambo yasiyo na tija MF chuki,roho mbaya,na uchawi wakaivest kwenye elimu

AFRICA WAKE UP
 
Hakuna chemistry bila periodic table kafwatilie nani mgunduzi

Dawa,nuclear,hayo mafuta,chuma na ushuzi wote lazma ukute benzene,phosporus,chuma ambayo ni (fe).....

Hakuna vita bila Ak 47 kagoogle mgunduzi

Ndege bila sphere ni ushuzi kamgoogle yuri gagalini
 
Kila race ililetwa duniani kwa objectives zake....

Kamwe hatutokaa tufanane hapa duniani, kuanzia mtu na mtu, familia na familia, koo na koo, kabila na kabila, taifa na taifa, bara na bara..

Shida kubwa ni kutojua objectives zetu hasa sisi Waafrika hapa duniani ni nini. Hapo ndiyo shida kubwa ilipo..
 
Objectives Africa ni uchawi
 
Hakuna chemistry bila periodic table kafwatilie nani mgunduzi

Dawa,nuclear,hayo mafuta,chuma na ushuzi wote lazma ukute benzene,phosporus,chuma ambayo ni (fe).....

Hakuna vita bila Ak 47 kagoogle mgunduzi

Ndege bila sphere ni ushuzi kamgoogle yuri gagalini
Pumba iyo periodic table kagundua mrusia na hapo katikatiKuna series ya trying and errors ya different chemist kwenye periodic table hakuna Black
 
Hakuna chemistry bila periodic table kafwatilie nani mgunduzi

Dawa,nuclear,hayo mafuta,chuma na ushuzi wote lazma ukute benzene,phosporus,chuma ambayo ni (fe).....

Hakuna vita bila Ak 47 kagoogle mgunduzi

Ndege bila sphere ni ushuzi kamgoogle yuri gagalini
Kuwa na rasilimali na kutengeneza kitu ni mambo mawili.
Tuna madini ya chuma, tumevumbua nini Tanzania cha thamani?
USB Cable zinatoka China na zingine ni feki kbsa mpk zinatia huruma
 
Afrika imechangia pakubwa maendeleo ya dunia zama za ukoloni na utumwa mpaka sasa tuna changia kwa asilimia kubwa maendeleo ya dunia ila ubaya ni kuwa maendeleo hayo yanawanufaisha wengine ( namaanisha races zengine sio sisi )
 
IPO wazi hawa jamaa WA Asia (china , south Korea na,japan) Europe na america wamebadilisha maisha ya hii planet earth kweny angle ya science, mathematics, sports n.k isingekua wao Bado tungekua tunaishi maporini.

Kama mzungu na muasia angelala Leo ungekuta hakuna simu,hakuna Tv,hakuna gari,ndege,meli Yani hakuna chochote.

Wenzetu wanawaza kuanzisha maisha sayari nyingine Sisi tunawaza uchawi ,chuki ,roho mbaya

Waafrika wengi including black Americans tunashida Pahala hususani thinking capacity

TZ uiingia tiktok, Instagram,fb ni post za mapenzi ,mapenzi Yani Kila MTU ni kungwi WA mapenz agenda kuu ni makalio ya wadada na namna ya kumfikisha mwanamke kileleni

At the same time tiktok version ya china inaonesha vijana /wanafunz wakifanya Challange mbali mbali kweny science, mathematics, speech,sports, culture n.k

Asia na Europe na america wamefanikiwa simply because wametupilia mbali mambo yasiyo na tija MF chuki,roho mbaya,na uchawi wakaivest kwenye elimu

AFRICA WAKE UP
Vipi kuhusu Misri?
 
Sisi waafrica tumekuja kucheza ngoma. Muziki ndio uwezo wetu
 
Hakika, roho mbaya, uchawi, unafiki, husda, uchawa, uvivu na wivu havijawahi kumwacha mtu mweusi salama kuanzia raia adi viongozi wa juu.
 
Tupo pamoja katika hili maana mi naona ngozi nyeusi asili yetu tunapenda starehe Sana mfano kuna tafiti ilifanyika japani kuangazia ni kwa nini kuna kundi kubwa la vijana hawaoi? yani wapo single , wakagundua kwamba watu hawana mda wa kupumzika wapo bize na kazi, hawapati ule mda wa kutafuta mchumba so unaweza ona utofauti.
 
Back
Top Bottom