wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

    Hali ya maisha ni ngumu sana Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani Unakuta familia inakutegemea lakini wewe...
  2. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

    Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo. Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi ( Marais ) wengi wa Bara la Afrika wanaamini Ushirikina kwa 85% wawapo Uongozini?

    1. Kuna Mmoja akitaka Kuuliwa akivaa Kofia yake Maadui zake hawamuoni. Na huyo huyo pia kama Maadui zake wakimkaribia hugeuka Mbuzi na Kondoo wengi. 2. Kuna Mwingine akienda Kuhutubia Watu lazima auoge Mkojo wake. 3. Kuna Mwingine ili Safari yake ya mbali ili ifanikiwe au azime Jambo fulani...
  4. JohMkimya

    JamiiForums Tanzania Kati ya app ya SportPesa, Sokabet na Mbet ipi ina watumiaji wengi?

    Oiii wadau wa majamvi enh nataka nianze kuweka majamvi ila makmpuni yamkuwa mengi sana sahv, Mnashauri nicheze na kampuni gani na kwanini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana. Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka. Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka. Huenda ikatoka kesho tar 23...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Mbona wengi huwa hawakujifunza kwa ile operesheni ya Israel, almaarufu kama Wrath of God

    Waisraeli wanaamini ukiua mmoja wao, hata ujifiche wapi kwa namna moja au nyingine watakukuta tu hata kama itachukua miaka hamsini, watakuwinda kwenye pembe zote za dunia. Kwa mfano ma-NAZI waliohusika kwenye maamuzi ya kuua Wayahudi, pindi baada ya Hitler kupigwa halafu Ujerumani kuangushwa...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni madikteta wasiokuwa na madaraka

    CCM kama navyo kitambua ni chama cha kidikteta kinacho ongoza nchi ya Tanzania. CCM imejifunua kuwa chama cha kidikteta kwa kipindi kirefu bila uficho wowote kwa maneno na matendo. Ila kuna kundi kubwa lililo saulika la Watanzania walio kinyume na CCM kiitikadi. Hili kundi kubwa la Watanzania...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

    Anti: unajua money penny, nimwambie kitu? Money penny: ndio Anti: unajua wanaume wengi hapa mjini hawajui kufikisha wanawake zao kileleni. Wengi hawajui G spot ya mwanamke iko wapo. Hawajui kukojoza wanawake zao Yani wanaume anakupanda Tu kama gari ya mwendo Kasi, akishamaliza yeye anajiona...
  9. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

    Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia "Sawa basi nimekosa" "Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse. Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
  10. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wajiandae kwa aibu kubwa 20.10.2023

    Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana. Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa. Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

    Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia. Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanabweteka kwenye mahusiano akishakuzoea

    Habari wanajf Ukijaribu kuwasikiliza wanawake wengi unakuta wanasema wanapenda wanaume wapole na ambao hawana mambo mengi sio kwamba hawapati wanaume dizaini lahasha lakini wakiwashawapata vituko haviishi. Nina bro wangu hivi mpole, na si mtu wa mademu alipata demu mapenzi yalikuwa moto na...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nina mwaka wa sita sijavaa pete ya ndoa, je ni kosa?

    Kutokana na changamoto ya kunenepa vidole, imepelekea pete zetu kuwa ndogo, na kuonekana kama adhabu pale tunapo zivaa. Kwa upande wangu, ni mwaka wa sita huu huwa sivai pete ya ndoa zaidi ya kuishi katika maadili ya ndoa tu. Hii imepelekea wadada kujipitisha pitisha, wakiamini nipo singo; na...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba watu wengi wa Dar es Salaam wamezidiwa kipato na watu wa mikoani

    Kijana wa Dar akinunua sabufa, sofa la watu 2, kitanda cha chuma na godoro, akipanga chumba kimoja, choo cha jumuia hapo katoboa maisha. Wapo vijana waliofanikiwa wakajenga, kununua usafiri na wengine kumiliki biashara lakini wastani wa vijana wanaoishi kwenye chumba kimoja na vikorokoro vyao...
  15. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

    Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku! Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!. Ninawafahamu jamaa...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas waungwa mkono na wengi kote duniani

    Wasomi mbali mbali kwenye vyuo vikuu kote ulimwenguni wameonekana kutorudishwa nyuma na propaganda za Israel katika kuwaunga mkono wanamgambo wa Hamas na jumuiya ya wapalestina kwa jumla.Hali hiyo imeonekana Marekani,China mpaka Japan. Huko Uiengereza na Ufaransa kumekuwa na kishindo kikubwa cha...
  17. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi tukifikisha miaka 50 na kuendelea tunatapeliwa kirahisi na wanawake

    Habari zenu wadau. Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi. Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu ndo muda ambao tunaibiwa mali zetu na wanawake, haswa wanawake wadogo(20-30) Nimesikia na kuona...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu kijana wa Arusha kaongea mambo makubwa tofauti na matarajio ya wengi

    Tazama video usikilize. Kaupiga mwingi.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, Lazima walio watu wengi waipende 🇹🇿

    Kwa tunaofuatilia maisha ya mwanadamu, tunajua pasi na shaka kuwa dhambi ni asili kwa wanadamu wote. Na hiyo ndiyo sababu kila siku tunafundishwa kutenda mema. Ukiangalia yanayoendelea nchini na duniani kwa ujumla, utaona kuwa dhambi inashamiri kwa kasi kubwa sana kana kwamba imemwagiwa...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kuendesha duka la "mangi" itolewe mashuleni

    Bila shaka duka la mangi ndilo la pili kuajiri watanzaniw wengi baada ya kilimo. Karibu kila mtaa utakuta kuna maduka ya Mangi kuanzia mawili na kuendelea. Umbali wa dakika tano toka hapo ulipo kuna maduka ya mangi mangapi? Watu wengi sana nchi hii wanaendesha maisha kwa kutegemea duka la...
Back
Top Bottom