Kwanini vijana wengi wana wapenzi lakini bado wanajichua?

Daydream

Member
Oct 26, 2023
58
328
Unakuta kijana wa kiume yuko na wapenzi si chini ya wawili lakini haachi kujichukulia sheria mkononi (Kujichua)

Je, ni kwamba anakua haridhiki anapofanya ngono na mwanamke wake au mwanaume wake?

Sina uhakika sana kama watoto wa kike nao huwa wanajichua hata kama wana boyfriends ila hata kama wapo idadi yao inaweza kuwa sio kubwa sana kama ya watoto wa kiume.

Nini hasa kinasababisha hali hii?

Ni nature au kujiendekeza?
 
Je, ni kwamba anakua haridhiki anapofanya ngono na mwanamke wake au mwanaume wake...
Najibu kama mmoja wa vijana.

Vijana wapenzi tunao wapata awatupi penzi kwa wakati wengi ni wababaishaji ndio maana mtu anaamua kuchukuwa sheria mkononi.

Tiba yao waoe oeni vijana mpate kuenjoy kuoa raha bhana
 
Wanaogopa kuliwa nauli
Unakuta kijana wa kiume yuko na wapenzi si chini ya wawili lakini haachi kujichukulia sheria mkononi (Kujichua)

Je, ni kwamba anakua haridhiki anapofanya ngono na mwanamke wake au mwanaume wake?

Sina uhakika sana kama watoto wa kike nao huwa wanajichua hata kama wana boyfriends ila hata kama wapo idadi yao inaweza kuwa sio kubwa sana kama ya watoto wa kiume.

Nini hasa kinasababisha hali hii?

Ni nature au kujiendekeza?
 
Unakuta kijana wa kiume yuko na wapenzi si chini ya wawili lakini haachi kujichukulia sheria mkononi (Kujichua)

Je, ni kwamba anakua haridhiki anapofanya ngono na mwanamke wake au mwanaume wake?

Sina uhakika sana kama watoto wa kike nao huwa wanajichua hata kama wana boyfriends ila hata kama wapo idadi yao inaweza kuwa sio kubwa sana kama ya watoto wa kiume.

Nini hasa kinasababisha hali hii?

Ni nature au kujiendekeza?
Umejuaje kama wewe sio miongoni mwao?
 
Najibu kama mmoja wa vijana.
Vijana wapenzi tunao wapata awatupi penzi kwa wakati wengi ni wababaishaji ndio maana mtu anaamua kuchukuwa sheria mkononi
Tiba yao waoe oeni vijana mpate kuenjoy kuoa raha bhana
🤣 🤣 🤣 acha kudanganya vijana wenzako sasa.
 
acha kudanganya vijana wenzako sasa.
Hakuna kudanganya mnao pinga ndoa pingeni na nyinyi mnachokitaka ni kuwaacha vijana waendelee kuteswa na mahusiano ya kipuuzi

Demu analia shida una mpa elfu kumi unampa elfu 20 unampa hela kama auna akili vile na maisha yetu ya kitanzania haya ila kutoa mzigo mbinde

Kwenye kuoa simple unamuachia elfu tatu ya matumizi unga mchele vimo ndani gesi mtungi upo top sukari, mafuta ,chumvi vipo hiyo hela ya mboga na mwanamke analizika mzigo unakula bao utakazo

Mimi ninacho washauri vijana wanao teswa na mahusiano ya kipuuzi wao waoe
Wafanye kama mimi ai kuoa raha mwaka wa nne huu nimetulia na ka familia kangu mambo ya kumgharamikia mtoto wa mtu halafu mbususu unapata ya kupimiwa nisha sahau

Ndoa ni jambo jema sana oa kijana.
 
Back
Top Bottom