wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wana Yanga Wenzangu kwanini tunaumia Shughuli ya Simba kuwa MC's wengi? Sisi tulizuiwa kuwa nao wa Kuwazidi?

    Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia. Happy Simba Day leo kwa...
  2. M

    Waafrika wengi wanatamani mapinduzi kama ya Niger na Burkina Faso. Ufisadi unawakera na kuwachosha

    Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa. Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka mabaya
  3. Kweli vizuri gharama, MaDJ ni wengi kuliko Wasanii waimbaji kwenye tamasha la Simba Day 2023

    Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa. Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini. Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
  4. Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

    Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo. Kujaza huku kwa uwanja...
  5. B

    Kwanini waajiriwa wengi wakistaafu lazima wapitie msoto mkali wa kiuchumi?

    Habarini, Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya...
  6. Nimewasikiliza 'Bodaboda' wanaounga mkono 'Uwekezaji' wa 'DP World' na kuilaumu CCM kwa Kuzalisha 'Wehu' wengi nchini

    Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili. CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
  7. Siamini katika Karma, Watu wengi wamewafanyia ubaya wengine na wanazidi kupasua anga

    Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya. (Malipo hapahapa Duniani) Binafsi siamini katika hili, nahisi ni imani tu iliwekwa ili kupunguza uovu, ila kiuhalisia mambo ni tofauti Nakumbuka kulikuwa na wababe wale waonezi...
  8. Kusavaivu hadi leo hii wengi wetu bila kupigwa chale tusingetoboa

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!  Maisha haya ya kitanzania yaliyojaa dhiki, umasikini, roho mbaya, husda, vijicho, masengenyo na masimango ingekuwa ngumu sana kutoboa kimaisha kama wengi wetu tusingepita kwa kina karumanzira ili kuwekwa sawa. Kila mtu anafahamu kilichompeleka kwa...
  9. Cctv video: Huyu mwizi inasemekana kawaliza wafanya biashara wengi kariakoo ila za mwizi 40 kanasa,

    Wezi wanatia hasara sana, Boss mwenye duka anaingia hasara, alieajiriwa kuuza duka anaanza kutiliwa mashaka na bosi kwamba ndio mwizi, anakatwa mshahara ama kufukuzwa kabisa Wengine waliolizwa wana sema siku nyingine anavaaga kanzu na balaghashia JINSI ANAVYOIBA ALIVYODAKWA, video imekatwa...
  10. SoC03 Tanzania tajiri iliyokumbatia wakwasi wachache mafukara wengi

    TANZANIA TAJIRI, ILIYOKUMBATIA WAKWASI WACHACHE MAFUKARA WENGI. Utangulizi: Makala hii itazungumzia mchango wa viongozi wetu juu ya kulinda rasilimali na utajiri uliomo ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Makala hii imeandikwa kwa lengo kubwa la kukumbusha viongozi wetu juu ya wajibu wao kwa...
  11. Polisi: Walinzi wa makampuni binafsi watumike sehemu zenye wageni wengi wakati wa Msimu wa NaneNane

    Maonesho ya wakulima ya Nanenane Kimataifa yanatarajia kufanyika mkoani Mbeya ambapo taasisi, mashirika ya serikali, mashirika binafsi na watu binafsi watashiriki katika maonesho hayo. Mataifa zaidi ya 30 yanatarajia kushiriki maonesho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale...
  12. Ninachokiona, watu wengi wanachukulia mapenzi seriously

    Wasalaam Katika harakati za maisha nimejikuta nikienda sehemu nyingi na kukutana na watu wengi sana. Sehemu kubwa ya watu ninaokutana nao wana matatizo makubwa ya ki-mahusiano; wanaume kwa wanawake. Hadithi ni nyingi sana, na heka heka ni nyingi sana pia. Kimsingi, watu wamevurugwa...
  13. Pongezi kwa Sheikh Mwaipopo, wananchi wengi walikuelewa na kususia Mkutano wa CHADEMA

    Friends and our enemies, Nichukue nafasi hii kumpongeza Sheikh Mwaipopo kwa uthubutu wake wa kusimama na kuwakemea CHADEMA na baadhi ya maaskofu kwa kile tunachoweza kukiita ni choko choko za kutaka kuliingiza Taifa hili kwenye taharuki na chuki za kidini ikiwa ni pamoja na kuigombanisha...
  14. Dada zetu wengi wanapambana kuolewa na wazungu tu

    Kwa muda Sasa toka nihamie kufanya kazi katika bank Moja hapa Kariakoo. Katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja akanialika kwenye party ya vikoba ili niwashauri namna ya kuweka pesa na kupata mikopo. Sasa nilifika kwenye party Ile nikakuta waume wanne na wasichana umri wa Kati kama 50...
  15. Zombie na vampire ni Jambo Halisi, sio maigizo kama wengi muonavyo

    ZOMBIE NA VAMPIRE NI JAMBO HALISI, SIO MAIGIZO KAMA WENGI MUONAVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Bila Shaka wengi wetu tumewahi kuziona filamu za Mazombi na Vampire, na ambao hamajwahi kuziona basi mnaweza kuzitafuta Baada ya kusoma andiko hili. Kuna watu huniuliza na kuniona Mbona Huyu...
  16. Vibonde wengi kuanzia raundi ya pili

    Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi. Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu...
  17. Ni kwanini matajiri wa Kitanzania wengi bado hawataki kusomesha watoto wao shule za Cambridge wanakazania elimu ya Necta na vyuo vya hapa kwetu?

    Tajiri unakuta ana mabilioni lakini suala la elimu ya mtoto kwake analifanya liwe la kuiga watanzania wanaosifia elimu nzuri ni mtoto akisoma shule hizi za Necta huko boarding awe anaamka saa 11 asubuhi, apate division 1 au 2 aende kusoma UDSM. Kwa elimu ipi hapa bongo uendelee kumsomesha...
  18. Utafiti wa Infotrak: Wakenya wengi wanahisi nchi inaelekea pabaya

    Utafiti huo umetokana na kazi iliyofanywa na Taasisi ya Infotrak kati ya Julai 3 na 8, 2023 kwa kuchukua kura za watu 2,400, ambapo 15% ya kura zimesema Nchi inaelekea pazuri wakati 12% wao wamesema hawajui kama Nchi inaelekea pazuri au pabaya. Asilimia kubwa ya waliopiga kura kuwa Nchi...
  19. J

    Je, Freeman Mbowe ni Presidential material?

    Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi. Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita? Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi? Mungu wa...
  20. Maamuzi ya watu wachache yanakuja kugharimu watu wengi na wote

    Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu.. Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…