matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,373
Wasalaam
Wengi wanaaminishwa uhalisia wa majini/mapepo na ushirikina kuliko Malaika.
Yaani unakuta mtu analala, kwa machale na wenge akitegemea muda wowote kukabwa, Kukwidwa kubininywa au kufinywa na nguvu za giza.
Hii imepelekea 90% ya maombi ni Kukemea na kuvunja badala ya kushukuru kwa mabodigadi wa kimalaika waliokuzunguka.
Mkristo ni kama mtoto wa mfalme. Muda wote uko under surveillance ya malaika. Biashara zako, njiani ofisini kote kumejaa vitengo mbalimbali vya malaika. Hufaidi hii kitu kwa sababu unaamini majini kama waislam kuliko malaika.
Toka kwenye ibada za kuvunjavunja na kuteketeza. Anza ibada za raha za kutambua ulinzi wako 24hrs. Kama huamini hiki huwezi kunufaika,
Ni hayo tu