Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:

1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.

2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.

Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo. Kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia watu wanaofanya kazi sana lakini bado hawana maendeleo.

Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika, na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.

Kwanini iko hivyo?
 
Kwa Wamarekani wanafanya kazi kwa bidii ni sawa ila si kwa 100%, Wachina na Wadachi naamini kabisa maana nilishawahi kufanya nao kazi.

Mchina ana masaa matano tu ya kulala kwa saa 24.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika.

Na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.

Kwa nini hivyo?
Huyo Mr John Maxwell kuna kitabu chake kazungumzia haya mambo Kwa style hii

Maisha popote duniani unapozaliwa unabidi kufahamu kuwa maisha ni magumu Ila yataendelea Kuwait Magumu ikiwa utashindwa kuwa na ivi vitu

Effective thinking
Goals and being smarter

kama wewe unaelewa kuhusu Africa watu tunafanya Sana kazi Ila hatuna malengo wapi tunahitaji kufika na wapi tulipo tunapata pesa lakini pesa nyingi tunawekeza katika pombe na wanawake.

Mfano Mimi nalipwa 300k

Nikitoa 100k inatosha kununua Michele kg 20 na unga kg 10 na gas

Hivyo ikiwa sitaonga wala kunywa pombe basi ntakuwa na uwezo wa Ku save laki moja kila mwezi.

Sisi tunakwama katika Effective thinking na Goals and being smarter
 
Kwa Wamarekani wanafanya kazi kwa bidii ni sawa ila si kwa 100%, Wachina na Wadachi naamini kabisa maana nilishawahi kufanya nao kazi.

Mchina ana masaa matano tu ya kulala kwa saa 24.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Si wanasema mtu anapaswa kulala masaa 8 kwa siku? Au Wachina "hawajaelimika?"
 
Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:

1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.

2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.

Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo. Kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia watu wanaofanya kazi sana lakini bado hawana maendeleo.

Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika, na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.

Kwanini iko hivyo?
Mkuu, na wewe unaamini kabisa watanzania ni wachapakazi?
 
Mazingira yetu ni magumu mno tunaishi kislavery kwenye mfumo wa capitalism.

Mfano. Miaka 8 nyuma nimemaliza chuo nikapata kazi kwa muasia mmoja hapo posta kampuni kubwa tu mshahara laki 3.. na wote tulioajiriwa tulikuwa ni degree basi income kwa mwezi ile ofisi tunaiingizia almost bill 1.1 kila mwezi. Ila mshahara ndo huo na hapo unachungwa hatari usiibe tukajiorganize tukapeleka proposal kwa manager huyo muasia aongeze mshahara basi maana yy anajilipa million 30 kwa mwezi anaservice ya gari million 4 anakaa appartment ya million 2.5 kwa mwezi..

Basi huwezi hamini akatuita wote akasema hawezi kuongeza chochote maana huo mshahara tunaolipwa hapa africa ni mkubwa na tunaweza kusurvive vizuri alafu akaongeza kama mnaona vipi acheni kazi huku kwenu africa labour force ni cheap sana na watu kibao hawana kazi..na maneno ya shombo mengiii tukapewa..

Mm kwa majibu yale nikaacha kazi siku iliyofuata niliona nimedhalilika sana nchini kwangu tunadharauliwa vile..nimekaa miezi 5 nikasikia alifukuza wenzangu wote waliobaki akaajiri wapya.
Africa ni shida basi tu..
 
Mwamba ngozi...

Maxwell ni Mmarekani. Ni wajibu wake "kuifagikia" nchi yake.

Japo na Wamarekani nao ni wachapa kazi, lakini mimi ningeambiwa niyaorodheshe Mataifa yenye bidii ya kazi, orodha yangu ingekuwa kama ifuatavyo:
1. China
2. Japan
3. South Korea
Huo uchapa kazi mnaupima kwa vigezo vipi?
Mm pia ningekuwa nalipwa kwa lisaa dolla 30 kwa mwezi dolla 5500 ningekuwa nakesha ofcn kabisa hao wenzetu wanalipwa mishahara mikubwa kwann usifanye kazi kwa juhudi na maarifa yote.
 
Back
Top Bottom