Wanawake wengi wazuri wanatuingiza gharama kubwa na kitandani hawana miujiza. Watoto wa Uswazi ni watamu sana ila wachawi kama Mshana Jr

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,723
10,227
Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara.

Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana mazuri yake mengi kuliko mabaya.

Kwa uzoefu wangu hawa wadada warembo nimepita nao wengi wa kutosha, unaingia gharama kubwa, uvunguni hawana miujiza.

Ila watoto wa Uswahilini ni wajuzi sana ila wachawi sana, hukawii kuikimbia familia.
 
Njoo kwa Yesu uokoke
 
Mungu Mwenyezi akuepushe na maradhi na akusamehe na kukutakasa na Roho ya uzinzi
 
Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara.

Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana mazuri yake mengi kuliko mabaya.

Kwa uzoefu wangu hawa wadada warembo nimepita nao wengi wa kutosha, unaingia gharama kubwa, uvunguni hawana miujiza.

Ila watoto wa Uswahilini ni wajuzi sana ila wachawi sana, hukawii kuikimbia familia.
kuku wa kienyeji watamu sana kaka mimi kila mwaka najitafutia mmoja anakuwa supersub
 
Back
Top Bottom