Waliozaliwa tarehe zifuatazo wengi wao huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

Miti7

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
991
1,784
Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist

Waliozaliwa kati ya

1. Januari 20 mpaka February 18

2. May 21 mpaka juni 20

3. August 23 mpaka September 22

4. December 22 mpaka January 19

Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

Kama wewe ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu basi kuna uwezekano mkubwa umezaliwa kati ya tarehe hizo

Na kama hujazaliwa tarehe hizo basi kuna uwezekano umewahi kuishi au kuwa karibu na watu hao na wakakuambukiza hayo mashaka yao
 
Mei 21 mpaka Jini 20 = una maanisha mapacha.Gemini sio?

Kiranga
Gemini, the intellectual and curious sign ruled by Mercury, is another zodiac sign more prone to atheism.

Geminis are known for their rational and inquisitive nature, always seeking knowledge and understanding.

Their ability to see multiple perspectives and their love for critical thinking often lead them to question religious dogmas.

Geminis value logic and empirical evidence, which can make them more inclined towards non-belief.

However, it’s important to note that Geminis are also open-minded and adaptable, so while they may lean towards atheism, they can also be receptive to spiritual beliefs if they find compelling reasons to do so
 
Mimi nimezaliwa April naamin mungu yupo lakin huwa siamin kujiangaisha unapotaka kuzungumza na mungu wako kama wanavyofanya wajinga wengine eti wanafunga kula,sijui kukesha wakiomba mara kupiga magoti mara kubinuka na mengine mengi ya kujitesa tesa kama hayo na ndo maana huwa siendi kanisani na siamin eti mkijikusanya ndo mungu anakuwepo kati yenu hii ni kauli ya kibiashara,mungu yupo popote
 
Safi kabisa, Hata mimi naamini kama unavyoamini wewe, huwa nafunga siku yoyote nikipenda lakini sikumbuki mara ya mwisho kwaresma nilifunga mwaka gani

Kanisani naenda pia mara moja moja na wewe nakushauri mara moja moja nenda kanisani au msikitini kuna faida ya kuwa na wenzako mara moja moja
 
Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist

Waliozaliwa kati ya

1. Januari 20 mpaka February 18

2. May 21 mpaka juni 20

3. August 23 mpaka September 22

4. December 22 mpaka January 19

Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

Kama wewe ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu basi kuna uwezekano mkubwa umezaliwa kati ya tarehe hizo

Na kama hujazaliwa tarehe hizo basi kuna uwezekano umewahi kuishi au kuwa karibu na watu hao na wakakuambukiza hayo mashaka yao
Tarehe haina uhusiano na tabia, huu ni uzushi upuuzwe
 
Back
Top Bottom