Ni kweli Askari Polisi wengi hawana ajira za kudumu? Ni kama vibarua?

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,504
86,054
Hii ni Post ya kuomba UELEWA. Kuna Mahali nilikua nimekaa na Wadau zikaanza story hapa na pale, Kuna jamaa akasema Polisi hasa wa rank ndogo na hawa akina kajamba nani HAWANA ajira za kudumu Hadi ufikie Rank Fulani?

Akaendelea kufafanua kuwa hawa ni Wafanyakazi wa "Idara" na sio watumishi wa Umma NDIO maana hata RPC tu anaweza kumfukuzisha KAZI ASKARI na hakuna Cha kufanya.

Tafadhali Mwenye uelewa na JAMBO hili atuelimishe. Wengine hatujawahi kubahatika kuingia kwenye utumishi wa serikali.
 
Back
Top Bottom