wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Hi people, Happy weekend!! Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi? Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back) Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar...
  2. Tufundishe soko la kustaafu la kwanza mpaka la saba mtasaidia wengi sana

    Rejea kichwa cha habari hapo juu naomba tuwe na somo.linalohusisha nini maana ya kustaafuu
  3. M

    Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  4. Mix by Yas wazembe ni wengi

    Imekuwa ni kawaida ya hawa My x by Yas customer service kuwa wazimbe na wasiofatilia shida za wateja wao . Nimefanya malipo kwa njia ya bank post paid lakini mpaka leo lain yang haifanyi kazi , na kila ukipiga wanajibu subiri 24hrs Kampuni ina shida hii
  5. Nchi zenye Watalii wengi duniani

    Alafu kuna watu wanapiga kelele na Tz yao yenye watalii milioni 2
  6. Mashabiki wa Yanga wengi wanaamini timu yao ni ya chama na serikali

    Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia, mashirikiano na ukaribu na chama tawala pamoja na serikali. Yanga ni kitengo cha michezo ndani ya...
  7. Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  8. F

    Mererani wamejazwa polisi wa kutoka Zanzibar, wengi wanaochimba Tanzanite wanatoka ZNZ. Madini hayawanufaishi watu wa Manyara. Samia atamaliza madini.

    Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
  9. U

    Ndugu zangu wengi sana majukwaani wanapenda ,wanatafuta ,wanahoji, wanauliza, wanajenga na kuijadili h CCM ni ushahidi wanavutiwa na sera zake

    Wadau huo ni ukweli usiopingika labda kama takwimu husika ni za kughushi
  10. H

    Wengi humu ni wanasiasa wa majitaka na chuki kwa watu kama Babalevo

    WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa. Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote...
  11. H

    Wengi watakaposhitakiwa sijui watajitetea "Polepole ndiyo alisema""

    Tabia ya Watanzania kushadadia mambo bila ushahidi wa kuthibitisha wanacholishwa itawaponza kila leo. Polepole kasema hayo yote je kayathibitisha kwa ushahidi upi ambao utaweza kuwa utetezi kwa watakaokamatwa kwa uchochezi. Ni wazi wengi wenu utetezi wenu ni ""Polepole ndiyo alisema"" sasa za...
  12. S

    Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN. Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha. Namsihi...
  13. Diamond Platinum tokea uhamia kuishabikia Klabu moja hivi duniani yenye Washamba wengi nawe pia sasa umekuwa kama Wao tu

    Unamsakama Mboso kisa tu kumuandikia mistari ya Wimbo wake kana kwamba vile hata Wewe mwenyewe 85% ya Nyimbo zako huwa unaandika mistari mwenyewe. Nilikuwa nakuheshimu sana na hata Kukutetea mno hapa JamiiForums ila sasa nimeamini ukiwa Mshabiki wa hiyo Timu uliyoko sasa utakuwa Mshamba na Juha...
  14. Kwanini watu wengi hatuna VERIFIED BADGE katika profile zetu?

    Tunaogopa kujitambulisha na kujulikana kwa mamlaka au nini haswa?🤣🤣 Au it is not just worth it kuwa na verified badge?🤔
  15. Wasanii wa bongo wengi ni waoga, watu wa kuridhika na wabinafsi pia

    Comedians wote ni CCM, bongo movie wote ni CCM,wasanii wa muziki wote ni CCM, wachezaji wa Mpira wote ni CCM makundi yote haya ni nadra kuyasikia yakikosoa mambo mabaya yonayofanywa na CCM. Masanii haya yakikaa mbele ya media utasikia Sisi ni kioo cha jamii sijui wanamaanisha jamii ipi?jamii...
  16. M

    Kwanini waafrika wengi wakipata taste kiduchu ya power wanakuwa GREEDY na SELFISH ?

    Katika nchi nyingi za Afrika, tumeona jambo la kushangaza lakini la kusikitisha: mtu akipata tu ladha kidogo ya madaraka, ghafla anasahau misingi ya utu, uwajibikaji, na usawa ambayo yawezekana alikuwa mwanaharakati wa kuvipigania hadi akaaminiwa kupewa cheo alichonacho. Akishapata madaraka...
  17. Bado tupo kwenye narrow AI si ajabu tishio la AI kwa sasa halionekani kubwa sana kati yetu ila tunapo elekea wengi tutaimba wimbo mmoja

    Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI. Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika kujibu maswali,kuandika documents,kuchora picha hiyo ndio picha watu wanajenga kuhusu AI si ajabu fikra...
  18. Wasomi wa Tanzania wengi, hawana uwezo wakushindana kimataifa kwakuwa Elimu yao ni ya maelekezo na ya kukariri .

    Hapa Tanzania huwa nikiwaangalia Wasomi , unaona kabisa Elimu yao ni kukariri na ya maelekezo. Kilichomsaidia TAL kuwa na ufanisi wa juu wa sheria ni kwakuwa anajisomea , kujifunza mambo mapya kila siku. Wasomi wetu hawa tulionao Tanzania , Sifikirii hata Kama wanaweza kushindana katika soko...
  19. Kwa nini Sasa watu wengi wanatamani kuwa kama Lissu?

    Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanastaajabu uwezo wa Lissu kwenye ujasiri na mambo ya Sheria. Unapoona mtu maarufu kama Hassan Mwakinyo anasema maneno kuashiria kudurufu matendo ya Lissu mahakamani, ni ishara tosha kuwa Lissu anahusudiwa na watu wengi? Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…