Msiseme Sijawaambia!
Fanya ulichokifuata kwake.
Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana.
Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako.
Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha utaratibu wa kuwa nae karibu zaidi kwa ajili ya huduma zake.
Ila kama wewe unajijua ni 'mchafu'...
Daraja la Ngara.
Hili daraja limejengwa na wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA na limegharimu kiasi cha shilingi milioni 763 kupitia mpango wa serikali wa kupunguza vikwazo unofadhiliwa na Benki ya Dunia.
Nimejaribu kuangalia kasoro kadhaa ambazo zajionyesha wazi katika daraja hilo...
Wakuu haya mambo yasikie kwa wenzenu tu aisee hawa wanawake wa huku abroad ni kisanga jamani aaaah hii 50/50 mtihani jamni unaweza kukufilihisi hivi hivi na wanawake wa huku majuu wapo na wewe kwa ajili ya mali tu hasa wakijua ni mwafrika na kama mwafrika umeendelea na umetajirika kwahiyo...
Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila kufikiria mara mbili. Hali ni mbaya sana. Mitandaoni nimeona watu wengi wakilalamika kuona mama zao...
WANAWAKE WENGI WASIOPATA UJAUZITO WANAKOSEA HAPA
WANAWAKE WENGI WANAKOSEA HAPA
Unajua siku zako za hatari au bado unakisia tu? 🤔
👉🏾 Ukweli ni huu: Bila kujua mzunguko wako vizuri unaweza kushangaa kwa nini mimba haishiki… au ukaingia kwenye mimba bila kutarajia.
Hatua za Kujua Mzunguko Wako 🩸...
Wanaukumbi.
Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa katika shambulio la Hamas pembezoni mwa Jiji la Gaza mapema Jumatatu Septemba 8, 2025 jeshi limethibitisha baadaye siku hiyo.
Tangazo hilo limetolewa wakati Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akiwatolea rai wakazi wa Jiji la Gaza “kuondoka mara moja,”...
Nimesikitika sana watu ndo kwaaanza wanataka jiunga JF. Kuna group letu tupo watu 970 watu wameomba kujua hiyo JF ni nini. Na haraka wamejiunga baada ya kupewa VPN bure kwenye group mtu anajichagulia tu a install ipi.
Nipo Ughaibuni naona nako kuna watu wanataka kuijua hiyo JF. Kifupi hesabu...
Sisi watu weusi, kiasili ni wezi ni vile mtu hajapata nafasi .
Kupitia Asili yetu ya tamaa za Mali ,fedha na ngono .
Basi wenzetu weupe wamekuwa waki -take Advantage hiyo kutulewesha , kutupa rushwa n.k
Wahindi , waarabu na wazungu , wanaujua udhaifu wa mtu mweusi kuwa anaongozwa na tamaa ya...
Atavaa kila aina ya nguo awalingishie, kila demu atazaa nae kuonesha umwamba wake, kila hatua atakayopiga ata prove kwenu kuwa amewazidi kwa maana nyie ni wapumbavu kuzidi yeye
Juzi mmoja wao amewaambia mnalalamika sana na hamfanyi kazi utafikiri mmesimama tu mnakenua bara barani.
Anyway pesa...
Haya ni maneno ya Msanii wa bongo Flavor BekaFlavor na kupostiwa na Msanii Bell9 kutokana na kile alichokisema msanii diamond juu ya vijana kufanya kazi badala ya kulalamika.
"Ila kuna vitu watanzania wenye nafasi flani kabla ya kuongea au kufanya tufikilie mara mbili mbili, wasanii tupo wengi...
Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja.
unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
Katika Nzengo yetu hususani kule juu wamo wateule wengi ambao wanaumizwa na hali ya mambo ilivyo sasa kwenye Kampuni ya walima.mboga mboga na kwenye Nzengo kwa ujumla.
Wamo wengi wanaounga mkono juhudi za upopoaji zinazofanywa na Mdunguaji aliyeko mafichoni dhidi ya Kunguru.
Taarifa za ndani...
Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
Hiyo yote inasababishwa na Wapakistani kuzaa watoto wengi zaidi kushinda Wadenmark wazawa.
Wakati Wadenmark wanazaa mtoto 1 au 2, Wapakistani wao wanafyatua kuanzia 5 na kuendelea.
"We have 5 children while you have 1 or 2. In 10 years, there will be more Pakistanis than Danes here. There...
Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm
Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.