Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,625
- 20,572
Watanzania wengi wanadhani kiswahili cha neno Dam ni bwawa. Wakisikia Mtera Dam basi wanajua kuwa kiswahili chake ni bwawa la Mtera.
Ukweli ni kuwa dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Baadhi ya tafsiri za kiswahili zinaita ukuta huo Lambo.
Huo ukuta hapo juu ndiyo unaitwa dam. Sehemu yenye maji kwa kiingereza inaweza itwa lake au reservoir.
So hawa jamaa wa Minaki watoe hii aibu. Badala ya kuandika Minaki Dam walau waandike Lake Minaki au pool au pond.