wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kamwe usikubali kuhatarisha maisha ya mtoto kwa kumpandisha bodaboda, wengi hawajielewi

    Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule. Yani wewe unaenda kugombania daladala halafu dogo under 5 unarisk maisha yake. Mbaya zaidi boda kavaa mkoti mkubwa...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu hudhania kila mzee ni wa kuomba ushauri na guidance, wengi wao wanaweza kuchefuka na hatua kubwa uliyopiga ambayo wao katika umri huo hawakugusa

    Roho mbaya ikizeeka haikauki. Anaweza tu kukuona umewazidi maendeleo watoto wake haina budi kukuelekeza shimoni.
  3. appoh

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Utabiri unaosubiriwa kutimia na walio wengi

    Kuna watu watafungwa kuna watu watanyongwa kuna watu wataenda jela (polepole September 14 Jumatatu saa 3 usiku na dakika 20) Dalili zunaonesha muda sio mrefu hili litatimia kuanzia kwenye kelele za tume kua wahusika waadhiwe kwa haki na sio kutolewa kafara ukizingatia kesi ya ICC muda sio mrefu...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

    Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi Waliokuwa Watumishi Wakistaafu Wanakufa Mapema Kwa sababu Wanakutana na Ghasia za Mke ambazo alizokwepa akiwa kazini

    My Take Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine. Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa kutuonyesha "ukihiyo" wa Othman Chande, wengi hatukumjua kabla

    Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo. Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale. Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hebu acha ushamba wa kusema eti 𝗦𝗵𝗲 𝗵𝗮𝘀 𝗮 𝗱𝗼𝗰𝘁𝗼𝗿𝗮𝘁𝗲 𝗱𝗲𝗴𝗿𝗲𝗲 𝗶𝗻 𝗹𝗮𝘄 Sema SHE has a doctorate in Law!

    Watanzania bwana maneno mengi lakini lugha ya kiingereza ni mtihani mkubwa sana kwenu ! Kwa taarifa yako Ukishasema ana 𝗱𝗼𝗰𝘁𝗼𝗿𝗮𝘁𝗲 basi maana yake tayari anayo elimu ya juu kabisa ya kiwango cha shahada ya tatu yaani (PhD!) Acheni ujuaji
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na Boda Boda, tungekuwa na majambazi wengi

    Tanzania tumshukuru mchina bilakuwa na boda boda tungekuwa na majambazi wengi , kuna sura unakutananayo unaona kabisa hii bila boda boda Ingetoa roho za watu , vijana wengi wamejishikiza kwenye boda boda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi niliosoma nao primary na O level wapo vizuri kimaisha. Mimi sijatoboa kwa kweli pamoja na kupambana

    Wadau leo niko very stressed. Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena. Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu. Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula. Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawanielewi ninaposema nina malengo ya kugombania urais mwaka 2035

    NOTE Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo yao imenyooka ila kwa nchi kama Tanzania ambayo mifumo yake sio mizuri maandalizi binafsi ni muhimu...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mimi nakubali walikufa 500 siku je ni wachache hama wengi? Je waliuwa ili waingie ikulu? Au walikuwa wanazuia watu batili wasiingie ikulu?

    Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi? Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania UZUSHI Yoweri Museveni Afrika ina wajinga wengi sana

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii huhusani Facebook likiwa na nukuu ambayo inatoa ijumbe kutoka kwa raisi wa Uganda yoweri museven amesema kuwa afrika ina wajinga wengi sana. Katika chapisho hilo ambalo limewekwa kwenye mitandao ya kijamii lina nukuu ya ujumbe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  15. X

    JamiiForums Tanzania Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

    Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema. Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
  16. M

    JamiiForums Tanzania Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini miaka ya hivi karibuni Wanawake wengi wanajifungua kwa kisu (oparesheni)?

    Napenda kupata uelewa zaidi kutoka kwa Wananchi na wadau husika wa sekta hii... Kwanini kipindi hiki idadi kubwa ya wamama wanajifungua kwa kisu (oparesheni) yaani katika Asilimia 100, kati yao 40% wanajifungua salama (bila kisu) na 60% au zaidi hujifungua kwa kisu. Hiyo ni tofauti na miaka ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huku Chunya kuna Wamalawi wengi wanaoishi kinyume cha Sheria

    Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini. Shida iliyopo Wamalawi wanatubagua sisi na kutuita kuwa tuna roho mbaya, naomba unisaidie hili neno limenitesa sana na...
  19. haszu

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanabakwa ila hawasemi /hawajui maana wanachukulia kama "Zali la mentali"

    Kama ulifanya mapenzi bila ya ridhaa yako /kulazimishwa, maana yake ulibakwa, hili linawakuta wanaume wengi sana ila wao wanaona kama ni zali la mentali. Mimi kuna dada alinibaka na hadi leo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu. Kipindi nilienda likizo kwa bibi, kule kuna nyumba mbili, moja...
  20. petro matei

    JamiiForums Tanzania Waimbaji wa nyimbo za injili wengi wao ni aibu kwa Kristo (NENO) wanaliabisha kanisa

    1 WAKORINTO 6 1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu? 2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? 3 Hamjui ya kuwa...
Back
Top Bottom