Wasanii wengi hapa bongo wana ma sponsors ambao pia husimama kama mameneja.
Iko hivi, wasanii wengi hapa bongo wamejibweteka sana hawana kazi nyingine zaidi ya muziki na wengi wanategemea shows kuendesha maisha yao.
Kula ,kunywa ,kuvaa na kulipa kodi ya nyumbakwa wasanii huwa wanawategemea...
Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana.
Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini.
Katika kipindi...
Kuna taarifa kwamba hivi sasa kupata boti ya Zanzibar imekua shida.
Watanganyika wengi inasemekana wamekimbilia kwa ndugu zao na wengine mahoteli ili kukimbia December 9.
Zanzibar inasemekana imekua kimbilio kubwa kwa watu wa upande wa pili
Quran
“Je, mnadhani kuwa mtaachwa bila kujaribiwa?…”...
Ninaandika nikiwa na furaha iliyopitiliza. Mimi na wazalendo wengine tumefurahishwa mno na kitendo cha META kufungia accounts zote za wanaharakati uchwara wanaochochea machafuko nchini. Mark Zuckerberg na kampuni yake wamefanya kitu sahihi katika wakati sahihi.
Mange na Maria ni maadui wa hili...
Ukiachana na mambo ya katiba, uhuru wa kuongea, hiii ndio Tanzania ambayo vijana wengi wanatamani kuiona kipindi hiki cha uhai wao
1. Tanzania yenye viwanda tele ikiwemo viwanda vikubwa vya magari, laptop, simu na pikipiki. Viwanda viajiri watanzania wengi na bidhaa tuuze nchi jirani. Malighafi...
Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani?
Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje
Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa
Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa.
Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi.
Wanaulizwa swali moja tu. Mmeua wangapi ? Wanashindwa kujibu.
Uzuri mshaelekea kibra na ICC wanawasubiri kwa hamu...
Majibu ya kitaalamu sana! Hili la polisi kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuliwa itakuwa ni kweli, maana tunasikia polisi wamekufa lakini mtaani hakuna taarifa hiyo, itakuwa waliuawa kipindi tupo kwenye lockdown ambako walikuwa wamebaki wenyewe barabarani!
Tuna ndugu na jamaa polisi, na...
Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu)
Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9
msiogope tutashinda hii vita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.