waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa aagiza miundombinu iliyoharibiwa na mvua Dar ishughulikiwe haraka

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Eng. Godfrey Kasekenya kufika katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua mkoani Dar es Salaam na kuungana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta, pamoja na timu ya wataalam kuhakikisha...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ataka wasajili wa hati kuacha urasimu na lugha chafu

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Jerry Silaa amewataka Wasajili wa Hati wa Ofisi za Kamishna wa Ardhi Dar es salaam na Pwani kuacha Urasimu kabla hajaanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu. Waziri Silaa ametoa kauli hiyo wakati alipofanya kikao maalumu na wasajili hao katika...
  4. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima ni waziri anayefanya mambo makubwa mno bila kelele,sifa za kijinga na majivuno!

    Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!. Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia wanasiasa baadhi wenye mambo ya ovyo na ambao wanadhani baadhi ya watanzani ni wapumbavu kwa kukubaliana na...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba akutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas, Alfred M. Sears pembezoni mwa l Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) unaoendeles Jijini Kampala, Uganda kuanzia...
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hayo masaa mawili, mh. waziri alikuwa anaongea nao nini?

    Nimeona hii habari, nimesikitika. Masaa mawili waziri alikuwa anaongea nini?
  8. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Kagera: Serikali yaagiza Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kanyinabushwa kuchukuliwa hatua

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeagiza Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kanyinabushwa hadi Mbale A Wilayani Misenyi achukuliwe hatua baada ya kujenga Makaravati bila kuzingatia Viwnago Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezitaka Bodi za Usajili ya Wahandisi (ERB) na Bodi ya Usajili ya...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Awaomba Wananchi Kuendelea Kulinda Amani na Mshikamano wa Kitaifa

    Waziri Mhagama Awaomba Wananchi Kuendelea Kulinda Amani na Mshikamano wa Kitaifa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa rai kwa wananchi kuendelea kuzilinda tunu za umoja wa kitaifa za utulivu, amani na ushirikiano...
  10. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Uganda yamkamata Waziri wa Zamani wa Kenya akitaka Kusafirisha Dhahabu ya Mamilioni Kuelekea Dubai

    Mahakama ya Kupambana na Rushwa iliyosimamiwa na Mheshimiwa Esther Asiimwe jana ilimweka Stephen Kipkyen Tarus, ambaye pia ni aliyekuwa Mbunge nchini Kenya, rumande katika gereza la Luzira kwa udanganyifu wa nyaraka za usafirishaji na kusababisha upotevu wa mapato kwa Serikali ya Uganda...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kwako Esha Buheti unaishije hapo nyumbani na Waziri

    Umofya kwenu members! Niende moja kwa moja kwenye mada. Kufuatia tukio la jana kwenye mechi kati simba na singida fountain Gate kuna huyu mchezaji wa timu ya singida fountain Gate Waziri ameonesha utovu wa nidhamu wa kupindukia kiasi cha kutaka kumzabua referee wa mchezo kisa kutokukubaliana...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof Kitila Mkumbo ameongea nini leo?

    Habari wanajamvi, leo nimeona mahali Waziri wa Nchi (Mipango na Uwekezaji) Mh Prof K. Mkumbo kaita waandishi wa habari anazungumza jambo. Amezungumza juu ya nini?! Au alikua anatetea Dissertation yake? Au alikua anatabaisha mafanikio ya wizara yake? Aliyepata muda wa kumsikiliza atujuze.
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi atatufaa kama Waziri wa Kilimo?

    Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu. Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana...
  14. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Ashatu Kijaji: Waziri Mwongo anaye endelea kubebwa na Serikali ya awamu ya 6

    Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje. Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea. Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Tanzania katika anga la Kimataifa ina sifa na Hadhi ya Kipekee Duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amesema Tanzania katika eneo la kidiplomasia ina sifa na hadhi ya kipekee duniani. Waziri Makamba ametoa kauli hiyo akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Mkenda apiga Marufuku wanafunzi waliopata Matokeo mabaya kufukuzwa shuleni

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku kwa baadhi ya shule ambazo zimekuwa zikiwafukuza wanafunzi baada ya kuwa na matokeo mabaya katika matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili Waziri Mkenda amepiga marufuku hiyo, Jumanne Januari 9.2024 Jijini Dodoma...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Maswali megine juu ya afya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani

    09 January 2024 Washington DC Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY Waziri wa Ulinzi jenerali Lloyd Austin aligunduliwa kuwa na saratani ya tezi dume mnamo Desemba 2023 na alipata matatizo baada ya upasuaji mdogo aliofanyiwa ili...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama awaomba Viongozi wa Dini kuweka mkazo katika kusimamia maadili

    Viongozi wa dini wameombwa kuendelea kusimamia imara na kukemea matendo maovu yanayopelekea mmomonyoko wa maadili hususan kwa vijana hasa katika mazingira ya yanayoendeshwa zaidi na ulimwengu wa kidijitali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Serikali Kuja na Master Plan ya Miundombinu

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inaandaa Mpango Mkuu (Master Plan) wa Miundombinu ya nchi kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kijamii itakayowezesha kurahisisha usafiri na usafrishaji kulingana na ongezeko la watu nchini. Mpango huo utaangazia mtandao wa barabara wa nchi nzima kupitia Wakala...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gambia: Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ashtakiwa kwa Ubakaji, Mauaji na Utekaji

    Ousman Sonko ambaye aliwahi kuhudumu katika Serikali ya Rais Yahya Jammeh, anatuhumiwa kufanya Ubakaji dhidi ya Raia, Kuagiza Watu Wauawe huku wengine Wakitekwa na Kuteswa kati ya mwaka 2000 hadi 2016. Kwa mujibu wa 'TRIAL International', Waziri huyo anakuwa Afisa wa ngazi ya juu zaidi kutoka...
Back
Top Bottom