waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

    Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa? Kairuki ndani ya miaka 3: Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Octoba 2017- Waziri wa Madini...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, usikubali huu mtego wa huyu waziri; atakuwa anatumiwa na mabeberu

    Inaonekana anatumiwa na mabeberu kukushushia credibillity kwa wanyonge. Wewe ushafanya utafiti kabla ya maamuzi kwamba tunaweza KULIPA, KUSAFIRISHA AU KUBANGUA KOROSHO WENYEWE Ulisema, hela tayari zipo benki ya wakulima, zishaingizwa. Ulisema ikibidi wanjeshi hata kwa meno watabangua. Nchi...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

    Heshima kwenu wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, huenda akatumbuliwa kutokana na kuwa kikwazo katika Ujenzi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station. Inasemekana January Makamba kaunda tume ya Wataalam wa kuchunguza athari...
  4. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati aridhishwa na kazi ya ujenzi wa njia ya umeme kuelekea Stiegler's Gorge

    Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuridhishwa kwake na kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha Umeme wa msongo wa kV 33 inayojengwa kuelekea eneo litakalotumika kuzalisha Umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge). Dkt. Kalemani aliyasema hayo...
Back
Top Bottom