Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
TANGANYIKA ISIWE 'CASH COW'
Kwa hisani na shukrani kwa gazeti la The Citizen
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/zanzibar/vice-president-mpango-wants-more-cardiac-institutes-in-tanzania-4519784
Gazeti la la Tarehe 09/02/2024 linaripoti ufunguzi wa Mkutano wa maradhi yasiyoambukiza ikiwemo...
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa
Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini "TASWA Media Day Bonanza 2024" linalotarajia kufanyika Februari 10, 2024...
BULGARIA: Wakulima wakubwa na Wadogo wameandamana kwa siku ya pili walishinikiza Serikali kuweka Uongozi Unaowajibika pamoja na kuongezwa kwa Fedha za Ruzuku ya Kilimo nchini humo.
Kamati ya Mipango ya Wakulima hao imesema Umoja huo hautasitisha Maandamano hayo hadi Waziri wa Kilimo, Kiril...
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.
Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu.
Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza...
Wakuu JF wazima nimatumaini yangu,
Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020
Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi.
Akastaafu...
Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya mwaka mzima wa kusubilia mitihani. Sababu kubwa ni maamuzi mabaya ya viongozi wa chuo. Waliamua...
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
Katika jitihada za kuhakikisha maeneo yote nchini yanapata umeme wa uhakika, Serikali imeshaanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa Gridi katika Mkoa wa Rukwa kupitia mradi wa TAZA ulioanza kutekelezwa mwezi Novemba, 2023 na unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti, 2026.
Hayo yameelezwa leo...
Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli...
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu.
Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali.
Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai...
Habari Wakuu?
Nimepita Mitaa ya Mikocheni leo na kukuta Kituo cha Mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni kinaendelea kufanya kazi ikiwa ni takriban mwezi mmoja tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kusimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha...
Anonymous
Thread
kazi
kituo
mafuta
matumizi
serikali
wananchi
watoto
waziri
Waziri Kairuki Atoa Maagizo Mazito kwa TANAPA Kwenye Uapicho wa Kamishina Kuji
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ametoa maelekezo mazito kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na kulitaka libadilike ili liweze kuchangia ipasavyo kwenye uchumi wa taifa kuipitia...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkandarasi Vikosi vya Ujenzi kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Wizara linalojengwa katika Ofisi za Serikali Mtumba Jijini Dodoma ili kuendana na ratiba ya ukamilishaji.
Bashungwa ametoa agizo hilo Januari 29, 2024 wakati akikagua...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM), Amy Pope Jijini Roma, Italia.
Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Makamba ameipongeza IOM kwa...
Waziri Mhagama Aagiza Huduma za Kijamii Zilizoathiriwa na Mafuriko Morogoro Zirejeshwe
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uraribu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza kurejeshwa kwa huduma zote za kijamii zilizoharibiwa na maji ya mvua kubwa iliyonyesha Januari 25 2024 Manispaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.