waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi

    Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewasihi wananchi na wakulima wa miwa wa Kata ya Magugu Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kuongeza kilimo cha miwa kwa wingi ili kuweza kulisha kiwanda cha Sukari cha Manyara . Dkt...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival Kukuza Utalii Mkoani Kilimanjaro

    WAZIRI KAIRUKI: TAMASHA LA KILIMANJARO CULTURAL FESTIVAL KUKUZA UTALII MKOANI KILIMANJARO Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha za asili za jamii ya Wachaga, Wapare na...
  3. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Lela Mussa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar: Rais Samia anastahili kupewa Uprofesa

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Mohammed Mussa amesema kwa kazi kubwa ambayo Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akiifanya tangu ashike hatamu ya Urais, anastahili kupewa Uprofesa. Lela ameongea hayo mbele ya Rais Samia leo December 28,2023 wakati wa Hafla ya...
  4. 100 others

    JamiiForums Tanzania Waziri Zambia ajiuzulu baada ya video inayomuonesha akipokea rushwa kusambaa. Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya Taifa!

    Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha. https://streamable.com/m1vwpu Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Diaspora Tusisahau Kuwekeza Nyumbani

    WAZIRI BASHUNGWA: “DIASPORA’ TUSISAHAU KUWEKEZA NYUMBANI” Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazawa wa Kagera wanaoishi nje ya mkoa pamoja na nje ya nchi 'Diaspora' kuja kuwekeza mkoani humo kwani Serikali imeshaweka mazingira wezeshi na rafiki ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais, Makamu na Waziri Mkuu wameshiriki misa ya Krismasi katika Manisa gani? Ni upi ujumbe wao kwa Watanzania?

    Nimependa kuona salam za Christmas's za viongozi wa Kitaifa. Ningependa kusikia kauli zao kuhusu upungufu wa maadili, kuongezeka mauaji, kero za huduma ikiwemo upungufu wa umeme. Lakini bado sijaweza kusikia salamu zao rasmi. Au awajashiriki misa ya Christmas's? Au watazungumza nasi jioni...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Kuendelea Kulinda Viwanda Nchini

    Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Kuendelea Kulinda Viwanda Nchini Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji Mb), amesema Dhamira ya Serikali ni kuhakikisha viwanda vya wawekezaji wa ndani na nje vinalindwa ili viweze kuzalisha ajira kwa Watanzania. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Desemba 23...
  8. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya Netanyahu yamekuja baada ya IDF kutangaza kwamba wanajeshi 14 wa Israel waliuawa mwishoni mwa wiki...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikitika wengi Wenu hamjatumia Akili Kubwa kumuelewa Waziri Jerry Slaa na Kauli yake juu ya Kupokea Rushwa

    Tuliosoma vyema Somo la Critical Thinking / Logical Reasoning Chuo Kikuu changu cha Geniuses watupu nchini cha Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT Mwanza 'We Build the City of God' ) mwaka 2009 tumemuelewa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa katika Angles zifuatazo.... 1. Kusema Kwake kuwa...
  10. Shark

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri Silaa, vituo vilivyopo kwemye makazi ya watu siyo Mikocheni tu

    Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia. Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo. Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

    Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi. Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa.

    Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe(Mb) amepiga marufuku kwa wakulima kuuza mazao kwa kutumia lumbesa. Kigahe amepiga marufuku hiyo kwa wakulima na wafanyabiashara desemba 20,2023 wakati wa ziara...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani

    Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa vijana wa kitanzania kuwa na uadilifu na kujituma wanapopata ajira viwandani ili waendelee kunufaika kwa pamoja na...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Uwanja wa CCM Majimaji Kufanyiwa Ukarabati

    WAZIRI DKT. NDUMBARO: UWANJA WA CCM MAJIMAJI KUFANYIWA UKARABATI Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi mashine mbili za kukatia nyasi katika uwanja wa mpira wa miguu wa CCM Majimaji kwa uongozi wa chama hicho Mkoa wa Ruvuma...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI Tunaomba usitishe mafunzo haya, huu ni upigaji wa fedha na mafunzo yatolewe online

    Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma. 1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka 2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya 3. Fedha Za mafunzo Haya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kama Waziri wa Mipango na Uwekezaji anafuata mashirika yasiyokuwa na tija, kwanini haifuti TANESCO?

    Hivi hili shirika lina tija kwa Tanzania na watanzania? Miaka nenda rudi sarakasi za TANESCO haziishi. Ahadi za watendaji na wanasiasa kuhusu TANESCO zinatolewa kila mwaka. Lkn hakuna jipya. Swali la msingi ni kwann halifutwi shirika hili?
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Afika Hanang, Wananchi wa Halmashauri ya Hanag Wameishukuru Serikali kwa Misaada ya Kibinadamu

    Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Hanang wameishukuru Serikali kutokana na juhudi kubwa iliyozifanya katika urejeshaji wa hali na misaada ya kibinadamu iliyotolewa kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka mlima Hanang. Wananchi hao wamezungumza kwa nyakati tofauti wakati...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama awapongeza Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari nchini kwa kuwatia moyo waathirika wa Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa acha Kutudanganya Watanzania kuwa TAMISEMI imeoza sasa, kwani wenye Akili tunajua ilishaoza tokea 2005

    Halafu GENTAMYCINE nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa Dagaa na Samaki wa Kawaida hawawezi kuwa Wakorofi na Wajanja Wajanja ndani ya Bahari halafu Mkubwa wao Nyangumi ama asijue au asiwe anashirikiana na baadhi yao. Acha kutafuta Sifa kwa Wananchi kuwa leo hii una Huruma mno na Fedha za Watanzania...
Back
Top Bottom